@PresenterNoah Nimrad wa Gavoo hivyo kupanga ni cheep 35k unapata self kabsa afu ukishashika umeshika unaweza usilipe rent ata miaka2 usisumbuliwe na ukikaa sana unaweza pewa icho chumba milele
@SwahiliRealTalk@Simalikesyosa Apo Mwaga maji ya moto apo unakuwa umeuwa icho kimdudu linabaki yai maji yakikauka pulizia Tina Ile ya kuchanganya kwenye rangi wasipoisha kachukue mafuta Kwa mwamposa
TUMIA CIU (REMOTE) YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
Mara nyingine unakuta CIU yako haifanyi kazi au imepotea na umeme umeisha huna namna ya kupiga simu TANESCO usubifu mafundi waje wakuwekee umeme lakini kuna namna unaweza kufanya ukaweka huo umeme kwa kutumia CIU ya
@John_Pambalu@TunduALissu Ulimwita hanisi Leo unamtetea fala kweli atakayekuwa anawasikiliza na kuwaamini mnachokiongea atakuwa hana akili timamu watu wazima mmejaza uozo kichwani uvivu tu wa kulima pumbavu
"Niubatili na ulaghai mkubwa kuita maridhiano sasa, wakati mwanzo serikali ilikataa ushauri, maridhiano bila kukili makosa na kuwajibisha waliouwa watu ni ubatili" John Heche