ERA siyo miaka ni energy
Ni rahisi Kutambua Era kwa kuzingatia mambo kadhaa
~ SOUND,
~MIONEKANO
~UJUMBE
Kuna wakati wasanii kwa uwingi wanatembea na sound flani na of course kuna producer hapa ana play role kubwa π
Wametumia kanisa kama metaphor akimanisha system na kaonesha kuwa ni lazima uwe kwenye huo mfumo pia lazima ukubali kuongozwa, kutii na kufanania otherwise utakuwa isolated.
F1, Tunamuona Kanye akitolewa njee ya kanisa baada ya kugundulika kuwa si miongoni mwao....π
S2kizzy atatumia nguvu nyingi sana kuwaaminisha watu kuwa yeye ni GOAT kwenye utayarishaji wa beats. Lakini ukweli ni kwamba, kama katika kila beats 5, tatu ni copy-paste ya idea za watu, hapo kuna shida. Ku-sample siyo dhambi, tatizo ni kudai ni idea yako wakati sio kweli.
NI KWELI ALIKIBA HANA HISA CROWN MEDIA?
Hapa nitajitahidi kuzungumzia upande wa burudani zaidi baada ya document kutoka TCRA ya mwaka 2024 ikionesha list ya wana hisa huku wengiβ¦
#UZIπ
Tuwe wakweli.
Hakuna biashara inayokufanya uwe tajiri kwa usiku mmoja.
Lakini zipo biashara zinazohakikisha pesa inaendelea kuingia hata wakati uchumi umedorora, ajira ni chache, na maisha ni magumu.
BIASHARA 5 ZINAZOWEZA KUKUFANYA USIWE MASIKINI TENA
Thread π§΅
yuko kwenye hali ya ulinzi (Defense Mode) lakini Kajala hana silaha mkononi, hana kofia ngumu, amevalia bandana kichwani na tabasamu la upole kama nguzo imara (The Support System) kuhakikisha morali ya jeshi iko juu.
Silaha kubwa kuliko zote ni kuwa na mtu sahihi pembeni yako.
Picha hii haioneshi tu sare walizovaa inaonesha umoja wa kimkakati (The Power Duo) kwenye uwanja wa vita wa maisha kila mmoja anahitaji Partner ambaye yuko tayari kuingia msituni na wewe na kukinukisha.
Konde akiwa kama kama kiongozi wa operesheni (Tactical Lead) ππΎ
βGalatasaray saved me at my lowest. From the moment I signed for that club, even my daughter felt more connected to it than I did. Iβll forever be grateful to that club.β
β Victor Osimhen to Streamer Carter Efe π€
Bongo streaming hailipi, hao wanakuonesha maana ya financial freedom, unaweza kufanya chochote kwenye maisha katika umri mdogo ukijipata, BTW ilipaswa ndio mambo yawe hivyo kwa vijana wote bahati mbaya system ya shule na ajira haitaki uwe hapo.
Ni mwendelezo ule ule wa kuvuna tusipopanda.
Jana kwa mara ya kwanza zilifanyika tuzo za βTanzaniaCreators Awardsβ nchini.
Nashukuru kuwa mmoja wa washindi wa tuzo hizoπ Ni hatua nzuri saaaana kwa watengeneza maudhui nchini.
Ukitazama kwa miaka 15 toka Kizazi cha @majani187 na @masterjtz unagundua muziki wa Bongo umetengeneza Majina MAKUBWA ya Maprodyuza kwa kasi ya ajabu kuliko WASANII.
Majina kama @s2kizzy@lizerclassic@abbah_process@kimambobeats na Trone unaona wote wana ufalme kwenye game.