ni kama unasikiliza wimbo tu kawaida na sio live,uzinifu tu kwa watoto umemuangusha ila huyu ni mwamba,Je mtumbuizaji wako bora unaangalia nini kwake?
Cc @masterjtz
@kuvifacts
@sudmosha@Izzo_bizness Basi sawa, wewe unahisi ni cha nani? Maana kule UK secondary school hadi chuo kikuu walikua wanafundisha kwa lugha hiyo hiyo. ๐
@iam__stewart @STREETTIES27 Studio kuna session musicians, beat makers, producers, sound engineers na mastering engineers. Ni muhimu sana kujadili hili swala ukiwa na mtu ambaye anajua tofauti ya hizo professions kwanza. Otherwise utakuta mtu anamuita a sound engineer au a beat maker a producer, asante. ๐๐พ
@Kennedypharmac3@JabirSaleh Hapo ilikua an exaggeration kwaajili ya story tu. Ndio maana baadae nikasisitiza kua inawahusu zaidi watoto wa Buku Bee ambao ni part of Generation Z.