SHERIA YA MAKOSA YA JINAI inakataza kabisa matumizi ya nguvu wakati wa kumkamata raia.Matumizi ya nguvu ni pamoja na kumpiga raia,kumfunga pingu,kumshika suruali kwa kumningiza, kumtukana au matumizi yoyote ya lugha chafu na kila kitu kinachofanana hicho
#ChangeTanzania