@HildaNewton21 Sasa kama wanajulikana na kupigwa picha km hivyo kwa upande wa wananchi hakuna haylta mwenye roho mbaya kama wao na wao waonje radha umauti hii ifike mahali tuseme basi
@tabasokuringe Mbona mama yako nae kagawa kwa lisu alafu watu tupo kimya wala hatutangazi kwa kuwa hayatuhusu, mtoto wa kiume unapaswa kujishikilia vinginevyo labda uwe unapindwa
@ItsMrHealth Umesema kitu ambacho huwa napenda kuwaambia jamaa zangu kuwa huwezi kushindana na ulikozaliwa / ulikotoka ww hivyo acheni busta ni hatari sana hasa kadri umri unasogea ndivyo unazidi kuyaona madhara ya hayo mavumbi congo, Vicks, nk
@Sativa255 Mimi ni fundi wa tv ila km kupewa tuzo basi hao TCL wangetakiwa kunipa maan ndio Tv ambayo nipeifanyia promo kila mteja wangu aliyetaka kununua tv nilimwambia ubora wa tv ya TCL na picha yake huu ni mwaka 9 sasa hawa jamaa wapo juu sema hawa matangazo kama hao Hisense