@ScholaDecaprado @king_chim @GeeEzra 😅 siongei bila wakili wangu..watu 500 unacheza nao wote na wote wanataka kukumbatia na wote wanataka kutoa zawadi. Sio rahisi ila inafanyika 🙌🏽
@ScholaDecaprado@harry_jay17@VwalaViola 😆😆😆 babe tutaenda kuchonga kitanda jamani usijali..tuweke na ile baby monitor..ka baby kawe na kitanda chake muruaaa n
@ScholaDecaprado@harry_jay17 Pneumonia ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na bakteria/Kirusi/Fangasi..kinga ya mtoto mwenye umri chini ya miaka 5 huwa chini hivyo kumsababishia kirahisi wadudu tajwa hapo juu kumpata..nothing to do with baridi
@ScholaDecaprado@GeeEzra Belated bday wishes kwa kaka shemeji.. Blessings and abundant favour be upon him. @ScholaDecaprado kama tulivyozungumza jana May babies 🔥🔥
Siku ya 13 Aprili 2020
Asante #ShujaaWaAfya
- Prof. Esther Mwaikambo
- Dr. Dinnah Nyirenda @alexdna04
- Dr. Felix Manyogote @fmanyogote
Kwa kuchochea mabadiliko chanya katika sekta ya Afya Tanzania 🇹🇿