@BabaGiann@Sativa255 Hawa wapuuzi sana naona namna tulivo wajinga wa fikra tunaacha agenda za kitaifa et uhangaike na matokeo ya yule bint
Ndo nasema matokeo sio kipimo cha akili za watu na usmati wao
Wanafanya manyanyaso makubwa sana wanagombanisha na serikali kijana asubhi kaamka kutafuta ridhiki bado awaze watu wafulani hivi inaumiza sana ukiwa kwenye hali na ukutwe na janga hili @azamtvtz@TuliaAckson@SuluhuSamia
@TuliaAckson
Mh leo ni siku ya Alhmis kuu 17April 2025
Hakika nimepata uchungu sana nilikuwa napita maeneo ya mbeya mjini Mbalizi road karibu na nmb benk kuna manyanyaso makubwa sana vijana waendesha bajaji wanapitia ni saa 8:50 asubuhi sijui ni mgambo wa jiji ila fatilia
I have huge heart with alot of scars the soul thats have been through hell back .Not everyday is my best ,some days i ruin things and make mistake but i learn from them i want to grow amd be best version of myself I'm work in progress and day i'will someone proud to call me
I'm not perfect And don't claim to be.i have insecurities ,i get jelouis i over think everything i have trusted issues,and some days i dont think i'm good enough.That is who I'm not afraid admit it.But you know what, I 'm amazing in many ways too.i have huge heart with alot
Siasa huwezi kuitenga na maisha ya kila siku siasa imebeba uzi wa kila nyanja leo nimefatilia mkutano wa chadema usiku na namna wanaenda watu wana hamu na mabadiliko ingawa kuna kundi la wenye nacho na wakunja ngumi hapa mvutano ni mkali ila wakunja ngumi wazi wana nguvu sana
@HildaNewton21 Madam nakufatilia mda sana ila mimi nakuelewa sana tangu uko chuo kikuu mimi nakupa kongole siku utakuja kuwa mkubwa na nakutamani sana tukutane siku katika mapambano ya kisiasa
Everything is judged by its appearance ,what's Is unseen is counted nothing.Never let your self lost in the crowd or buried on oblivion make yourself magnet by appearing larger,more colorful,loss is the new start of racing towards the championship ๐๐ฅ
2. Anna Makinda alilazimishwa kuwa mbunge wakati yeye akipenda kuajiriwa katika fani nyinginezo, na alikuwa haelewi majukumu ya mbunge ni yapi na alikuwa mwanamke pekee (msichana mdogo kipindi hicho)