Nikiwa katika maonesho ya 77 yaliyomalizika Julai 13, 2024 nilikutana na Samora Michael mwanafunzi wa VETA (Kagera) mwenye kipaji cha uchoraji.
Changamoto yake kubwa ni kuzitangaza kazi zake mtandaoni kwani hana simu janja (smartphone) na anaomba asaidiwe
Namba yake; 0756783111
Muonekano wa Mto Ruvuma wilayani Namtumbo ambao umeanzia milima ya Matogoro mjini Songea na kumwaga maji yake Bahari ya Hindi mkoani Mtwara
Credit: #KusiniNews