Nashindwa kuamini kwamba hata mimi wanangu watanidhihaki dhidi ya Mama yao wakimtukuza kuwa bora kuliko mimi na hawatotaka kujua mapambano yote ninayoyapitia kumpata mwanamke huyo bora kwaajili yao na kumlinda asitoke nje ya mpaka yangu kwaajili yao na bado itanibidi nikae kimya.
Thanks for 1k+ views and 100+ Subscribers on YouTube,Keep on Streaming!
Yohana Sanga - A SONG FOR YOU (Official Music Audio) https://t.co/0G0F49WzuQ via @YouTube