Thanks for 1k+ views and 100+ Subscribers on YouTube,Keep on Streaming!
Yohana Sanga - A SONG FOR YOU (Official Music Audio) https://t.co/0G0F49WzuQ via @YouTube
Yo fam! Inaweza ikawa hatuongei sana wala hatuchati but it doesn't mean tumegombana na isiwe chanzo cha kukataana ikiwa umeona potential on me nitumie bcoz this time tomorrow won't be the same yamkini tusiweze hata kukaribiana; Stop blah come w/ deals bro which will make us stay.
Vitu na umri, sio mbaya kudream BIG ila kuna vitu kubali tu kuwa vipo nje ya uwezo wako. But Never Quit viwekee mpango mzuri wa kuvifikia otherwise utaishia kuumia na kushindwa kufanya hata vidogo ambavyo una uwezo navyo.
Mamsii nyingi hututumia kama ngazi yaani akupige kizinga 50k af akaispend kwenye viwanja vya kishua kama Hyatt Regency ambako ukimuona ni kama hanaga shida ila ukijichanganya kwisha wewe 😂🤣