The last program that I did, with the Late Prof Honesty Ngowi(May he rest in peace) tuliangazia namna migogoro ya kijiopolitiki inavyoweza athiri uchumi wa nchi zinazoendelea.
And this will be my pinned post from now on.
#Apinnedpost
Limitations za kipimo cha GDP per capita zipo kwenye Income Inequality,Non Market Transactions,Haioneshi ukubwa wa Informal Sectors na yupi hunufaika na Uzalishaji.
Pia formula yake inaipunguza Total GDP mkiwa na population kubwa kwasababu denominator ina "total population".
Kwa mujibu wa ripoti za mwisho za IMF, Uganda imefanikiwa kuipiku Tanzania kwa GDP per capita baada ya zaidi ya muongo mmoja Tanzania ikiwa mbele.
Ingawa mimi bado siamini kabisa kuwa per capita ni kipimo cha maana cha kuangalia kwenye maendeleo ya watu.
@KennedyMmari Inaweza kutumika Human Development Index au Gini Coefficient kujua maendeleo halisi ya Household kwa maana ya Economic Growth inabeba ukuaji wa GDP ila Economic Development imebeba Uchumi wa watu.

Kipimo kizuri cha Economic Development kwa maana ya kugusa mifuko ya watu kinaweza kuwa "Human Development Index" au hata "Gini Coefficient".
Ila ifahamike kuwa kila tool ya tafiti ina limitations zake.
Limitations za kipimo cha GDP per capita zipo kwenye Income Inequality,Non Market Transactions,Haioneshi ukubwa wa Informal Sectors na yupi hunufaika na Uzalishaji.
Pia formula yake inaipunguza Total GDP mkiwa na population kubwa kwasababu denominator ina "total population".
Inaweza kuwa sahihi kwenye Forex Translation,vipi kuhusu Purchasing Power na Real Income?
Hii ni Forex Translation Loss au ni Actual Spending Loss ya ndani?
Kuhusu USD na Inflation yake je? Consideration ya Local returns?
Nakubali kwenye Hedging ila Strategy ni Incomplete.
๐น๐ฟ Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
โ TSh 294,320 kila mwezi
โ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.