Uchovu wa ahadi zisizotekelezwa?
Sisi hatuuzi maneno.
Tunatoa matokeo.
Website. App. Digital assets.
Zimejengwa kwa mkakati, si bahati.
π² Book now
+255 747 985 778
π§ [email protected]
π https://t.co/uekuruouQ2
Nakumbuka class la mwaka wa pili I used to hate System Analysis and Design (SAD), pale UDOM. Leo here I am doing it with a smile hapa @makeleletech .
Building, learning and giving value. Kwenye equation hakuna earning hapo.
Hivi na wewe unaona tofauti ya Epstein na Baltazar Engonga? π§
Epstein anaonekana mhalifu wa kimataifa mwenye "connections" nzito, lakini Baltazar pamoja na uzito wake kisiasa amechorwa kama mzinzi tu asiye na mipaka.
Japo ukiangalia "patterns" zao, kuna kitu hakikosawa.

Japo Egonga hakuwa mkubwa duniani ila alikuwa mtu sana Ginue na profile yake kisiasa sio haba ni kama Mpina wa huko. Mm binafsi naona "political hit job" iliyopangwa.
@madinidotcom @fbuyobe fanyeni utafiti wa kina hapa. @madinidotcom itapendeza mkija na Episode YouTube pale.
Hivi na wewe unaona tofauti ya Epstein na Baltazar Engonga? π§
Epstein anaonekana mhalifu wa kimataifa mwenye "connections" nzito, lakini Baltazar pamoja na uzito wake kisiasa amechorwa kama mzinzi tu asiye na mipaka.
Japo ukiangalia "patterns" zao, kuna kitu hakikosawa.
Kingine, video za Baltazar zimevuja baada ya Polisi kupekua ofisini/kwake. Kabla ya hapo hazikuwepo. Kwanini Polisi wavujishe?
Hata za Epstein, mafaili yalivuja yakiwa mikononi mwa serikali. Na yeye ni kama ilikua makusudi hivi ...?
Hadi hapa Kuna harufu ya intelligence...
@makeleletch hatutengenezi "Websites," tunatengeneza "Digital Systems" zinazoingiza pesa.
β Kama mfumo haukuzidishii faida au kupunguza gharama, huo ni ubadhirifu.
β VALUE-DRIVEN ENGINEERING.