@TuliaAckson Kabisa mkuu endelea kufanya kazi kwa bidii nimependa ulivyojibu hoja ya kutembelea urusi kabla ya Ukraine ur very genius ubarikiwe ππ
@thisistemidayo@bstkreatvt Jamaa alisema kuna wafia dini hao watu hawatakagi kuskiliza na kufanyia udadavuzi jambo they are still believe kile ambacho wamefundishwa