Mtu mpuuzi ni nani?
Mtu mpumbavu si yule anayekosea mara moja, bali ni yule anayekataa kujifunza kutokana na makosa yake. Mara nyingi huamua bila kufikiri, hupuuza ushauri mzuri, na hurudia makosa yale yale bila kujali matokeo.
Hekima huonekana kwa mtu anayesikiliza.
UNAPOPIGA SIM HAKIKISHA SIO MUDA WA SIM YAKO KUZUIWA KUPIGA SIM! MAANA UTAKUJA MTU ANAKUPIGIA SIM UNAPOKEA TU ILE HALOOOO SIM IMEKATA UKIMPIGIA HAPATIKA TENA KUMBE MUDA WAKUREJESHA KIKOBA UMEFIKA!!