Yaumul jumaa siku bora katika masiku,Ni siku bora zaidi ya Eid El Fitri na Eid El Adha.
Ni siku bora kwakuwa ndani yake yanapatikana mambo matano
1. Ndiyo siku ambayo Allah (S.W) alimuumba Nabii Adam (A.S).
2.Ndiyo siku ambayo Allah (S.W) alimteremsha Nabii Adam(A.S) duniani👇🏿
Hapo tatizo sio huyo mtu ni wewe.Huenda unamuonaga smart kwasababu kuna angle anasema unachotaka kuskia ila ikija kwenye dini unamuona mpuuzi kwasababu anasema usichokiamini🤝🏽