Siku nyingine ya kukumbushana kuwa, tembea kwa mwendo wako.
Wapo wanaozitegemea familia zao, na upo wewe ambao Familia yako inakutegemea.
Tembea kwa mwendo wako mkuu, Presha za mitandaoni zisikutoe Mchezoni πΆπΎββοΈ
GOOD MORNING ππΎ
Nifollow na nikufollow back chap.
Active & engage 100%
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
@kasimuabuu98@kasimuabuu98
Let's connect together π₯
Follow & i will follow back ASAP
π₯Happy Christmas ππ π₯
ππ½500 kwa siku ni sawa na 180k kwa mwaka.
ππ½1000 kwa siku ni sawa na 360k kwa mwaka
ππ½2000 kwa siku ni sawa na 720k kwa Mwaka
Tabia ya kuhifadhi viakiba nawezaje jiambukiza aisee???
Unyonge mwingine wa Mwisho wa mwaka tunajitakia wenyewe π
Sauti ya Umma
Sauti ya Mtaa
Sauti ya Wanyonge..
Toka enzi hizo anapigwa vijembe kuwa anaimba taarifa ya habari, hakutetereka wala kuyumbishwa, amekuwa Spika ya Wananchi miaka yote ππΎ
Ishi sana MKATO π
Top 3 yako toka kwake ni ipi Mkuu??? ππ½ππ½