@godbless_lema Hivi Lema ingekuwa nyie chadema ndiyo mpo madarakani mnaongoza nchi halafu wanatokea watu wachache na kuanza kuwatukana kuhamasisha vurugu kuwakashfu na kuwadharau viongozi wa chama na serikali mngefanya nini?
@TanzaniaLeaks Hapo unejitukana wewe pamoja na wazazi wako familia yako nzima yani we hamnazo kabisa halafu unajifanya unaakili sana kumbe mavi ya kuku
@TanzaniaLeaks Kuna mijitu inajiona inaakili kumbe mipumbavu kupitiliza yani unawaomba wakenya wakusaidie kuiteketeza nchi yako au siyo mtz wewe kwani tumekuambia tunataka msaada wa kipumbavu kutoka kwa hao wapumbavu wenzako
@Sativa255 Wewe alichapicha Logo ukaandika Mbowe Gaidi sababu tu ulikua Team Lissu,Ilihali alikusemea kwenye sakata lako la Kutekwa, Hata wewe auna utu wala heshima,
@fatma_karume Sasahivi mmeamua kuwatumia mapadri na maaskofu na wao wameivamia siasa kwa wingi sana na inaonyesha wameegemea upande mmoja na wao wamekuwa wapinzani wa serikali na Ccm.
@lifeofmshaba Sisi wananchi wa Tanzania hii ndiyo tutakaoamua abaki ikulu kupitia kura zetu sasa wewe unatoa maagizo hayo kama nani we subiri uchaguzi ufike ndiyo utajua hujui,
#Kazi na Utu
#Tusonge mbele