Simba Sports Club tumevuka lengo la kuchangia damu salama kwa asilimia 155%.
Wakati ya wiki ya Simba wanachama na wapenzi wa Simba tumechangia damu salama chupa 3,107 ikilinganishwa na lengo la kuchangia chupa 2,000 tuliloweka kabla ya zoezi hili. Hii ni 155% ya lengo.
Hongereni sana Wanasimba kwa kuokoa maisha ya wenzetu. Kweli mmeonyesha unyama mwingi sana. #NguvuMoja
Kwanini Mfalme Daudi alipenda sana โTotosโ lakini bado Mungu alimpenda?
#UZI ๐งต
~Jioni moja mfalme daudi alikua anazunguka ghorofani kwenye kasri lake. Ghafla alimuona mwanamke mmoja mzuri sana anaoga.
Mfalme alivutiwa sana na yule mwanamke akatuma vijana kuulizia habari..๐๐พ