@ShijaDenis Ushamba.
samsung (android) sifa kuu ni customization na goodlock imekua developed by samsung wenyewe kukupa uhuru huo wa kucheza na simu yako.
@modekai__@ZakayoMmbaga Wapi umeona kipimo kinafanywa bila kuwa recommended na daktari first???
Kila siku kampeni zinapigwa usinunue dawa bila ushauri wa daktari. Na ushauri wa daktari lazima uulipie, japo pesa haiingii mfukoni mwake bali kwa walio muajiri katika kituo husika.