Nimesoma comments hapa and all i can say is most of you mnaingia kwenye ndoa just because jamii itakuonaje usipoa/ kuolewa. As far as i have seen ndoa nyingi zilizovunjika, core problem ni uaminifu hamna. Kama unashindwa kumwambia mwenza wako โnina mali flani but ni yanguโ kisa humuamini then whatโs the point of marriage?๐
#KataaNdoa
@Eric__Bernard Mhh. Utambulisho unastusha . Mdogo mtu Bibi harusi alikuwa hamjui na hawajawah kukutana!๐
Wakat anaenda kuna kigeregere fulani kimepigwa na wamama.
Halaf mbona mdogo mtu hakumkumbatia wifi?๐
Dar es Salaamโs real estate market is becoming increasingly disconnected from reality. Prices like weโre buying property in Texas, Palm Beach or downtown Miami.
And the problem isnโt just expensive houses and plots. Itโs expensive houses in a place where..
@hereiseddy_ Umeniwazisha na kupata mixed feelings..
Taasisi zinapata hasara. Zikifanya analysis vizuri ni bora kuweka sawa uwiano wa human resources kuliko kupeleka fedha nyingi katika posho.
...Serikalini watumishi wanatamani kuhamia sehemu zenye utitiri wa posho๐๐
Mshahara mkubwa!!
Posho/Overtime ni matokeo ya taasisi iliyoshindwa kuplan operations zake vizuri!
Siku wakipata kiongozi mzuri anayejua kuplan mambo ndio utakua mwisho wa posho na ots!
@cadabrajr44@iamthatfemale Yep. Yaan nawaza yaani kuna siri gani ndani ya ndoa ambayo inazidi ndoa yenu..
Ndio haya yanaenda hadi kwenye fedha.
Nadhani wengi tumeingia kwenye ndoa kwa presha ya jamii
@MarekaMalili Sasa kama unaogopa mkeo/mumeo kujua mambo ya familia yako. Then ndoa ilikuwa ya nini. Nisaidieni . Sitetei kushika simu . Ila ninajaribu kuwaza inawezekana hizi ndoa wengi tumeingia kwa mkumbo au mimi sielew kwa kweli. Kuna siri gani kubwa kwenye ndoa zaidi ya ndoa yenyewe!