The most powerful person in Tanzania Hon. President Samia Suluhu Hassan standing in New Selander Bridge. #Alihamdulillah. 🇹🇿 🖤.
Special moment:
Me: Shikamoo Mama.
President: Marahaba Hongereni kwa kazi nzuri. 💪🏿🤲🏿🙏🏿✍🏿.
Bendera za mataifa zinazoshiriki Kombe la Dunia kwa kawaida huwekwa kwenye nyasi uwanjani kabla ya mechi kuanza.
Hata hivyo, Saudi Arabia iliieleza FIFA kwamba bendera yake haiwezi kuwekwa chini na kugusa ardhi kutokana na kuwa na Shahada (tamko la Kiislamu la imani), jambo ambalo linachukuliwa kuwa ni marufuku kwa misingi ya dini.
Kutokana na hilo, FIFA iliheshimu ombi hilo na kuizuia bendera ya Saudi Arabia kugusa ardhi, huku bendera nyingine zikiendelea kuwekwa uwanjani kama ilivyo kawaida.
Cape Verde goalkeeper Vozinha after his man-of-the-match display against Spain:
"I cried after the game because I grew up with my grandparents when I was a kid, and they could not be there. They passed away a few years ago.
"My mum could not be here either for a VISA issue, and the money we had to pay for it. We did not manage to do this in time."
“Hata hivyo, Serikali imewataka Wananchi kushughulikia changamoto za uhamiaji kwa kuzingatia Sheria na taratibu zilizowekwa, ikionya kuwa vitendo au kauli zinazoweza kutafsiriwa kama chuki dhidi ya wageni vinaweza kuleta madhara makubwa kwa uchumi na hadhi ya Nchi hiyo ndani ya Bara la Afrika” Suala la Uhamiaji wameachiwa wananchi 🙌🏿🙌🏿
Serikali ya Afrika Kusini imeeleza wasiwasi wake kuhusu athari za kuongezeka kwa mtazamo kwamba Wananchi wake wana chuki dhidi ya wageni, ikisema hali hiyo imeanza kuathiri sekta ya sanaa na burudani Nchini humo.
Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba, Mmamoloko Kubayi amesema baadhi ya Wasanii wa Afrika Kusini wameanza kupoteza fursa za kufanya maonyesho katika Mataifa mbalimbali ya Afrika baada ya waandaaji kufuta matamasha yaliyokuwa yamepangwa.
Kubayi amesema baadhi ya Wasanii wamemfikia binafsi wakilalamikia kufutwa kwa maonyesho yao katika Nchi mbalimbali za Bara hilo, jambo ambalo limeathiri mapato yao pamoja na ukuaji wa sekta ya burudani.
Aidha, Waziri huyo amesisitiza kuwa Afrika Kusini si Taifa lenye chuki dhidi ya wageni kama inavyodaiwa na baadhi ya Watu, akionya kuwa taswira hiyo inaweza kuharibu uhusiano wa Nchi hiyo na Mataifa mengine ya Afrika, pamoja na kuathiri biashara, utalii na uwekezaji.
Hata hivyo, Serikali imewataka Wananchi kushughulikia changamoto za uhamiaji kwa kuzingatia Sheria na taratibu zilizowekwa, ikionya kuwa vitendo au kauli zinazoweza kutafsiriwa kama chuki dhidi ya wageni vinaweza kuleta madhara makubwa kwa uchumi na hadhi ya Nchi hiyo ndani ya Bara la Afrika.
#MillardAyoUPDATES
Japan manager Hajime Moriyasu was in tears listening to their national anthem at the World Cup. One of our favourite photos from the tournament so far ❤️