@godbless_lema Kila mtu alipewa taarifa kuhusiana na hili la kula ila kuna watu wanapinga so unategemea wakae kimya.. Znz iko tofauti na bara hilo lazima tukubali tusiingize siasa kwenye dini. Znz hili suala kila mtu analijua wamekiuka hawa....
@George_Ambangil kaka hao marumo ligi uao hali mbaya. Ila kwenye stage ya caf wanacheza wanavotaka. Tena mwenye ubora mkubwa. Nduguyako al akhdar yule alomtoaga azam alikula 4 kwa aibu na mpira mwingi
@ManUtdswahil kiukweli mimi binafsi kwa akili yangu timamu nimefikiria huyu ronaldo kama anataka kuondoka tumuuze tu. naamini huyu sesko tutamnunua kwa garama kubwa lakin tutamlipa mshahara kiduchu. alafu tukubali kuanza upya na ten hag