Extreme inequality is bad in itself, but in today’s digital world of information control & influence, extreme inequality can spell doom for democracy, with the masses losing out not only in terms of relative wealth, but also their voice.
On Monday of this week, an induction programme for CEOs of public and statutory corporations was inaugurated.
Representing the Chief Secretary of the United Republic of Tanzania, Dr. @tausi_kida, Permanent Secretary for Planning and Investment, underscored the need for CEOs to create environments that inspire extraordinary performance, starting with leadership.
The programme, developed by the Office of the Treasury Registrar in collaboration with UONGOZI Institute, blends engaging teaching techniques, discussions, practical insights, and real-life case studies to help CEOs adapt to shifting global demands.
#Leadership4SDGs
Heartfelt congratulations to Dr Faustine Engelbert Ndugulile for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa. You have made our country proud, and our continent will greatly benefit from your work.
I am confident that your expertise and experience in the health sector will enable Africa to have a vital voice on the global stage in tackling health challenges for millions of our people across the continent.
You have my best wishes.
Mapema leo tulipata ugeni wa Mhe. Deus Sangu (Mb), Naibu Waziri - @OR_Utumishi, akiambatana na Bw. Mululi Mahendeka, Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais (Ikulu).
Tumefurahi kusikia mtazamo chanya wa Mhe. Naibu Waziri juu ya Taasisi yetu na namna madhubuti ya kutekeleza mipango ya Taasisi kwa kuzingatia ile ya kitaifa, kikanda, na kimataifa.
#Leadership4SDGs
Katika Kilele cha Maadhimisho ya Maonesho ya Nane Nane ambapo pamoja na mambo mengine nimeweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo Dodoma, ya kisasa na ya mfano kwa Bara la Afrika.
Kilimo, mifugo na uvuvi ni sekta ambazo zimeajiri asilimia kubwa ya wananchi wetu, na ustawi wa nchi yetu unazitegemea kwa kiasi kikubwa. Umuhimu wa sekta hizi ndio msingi wa uamuzi wa kuziongezea ukubwa wa bajeti kwa zaidi ya mara 4 katika kipindi cha miaka mitatu.
Hatua hizi zimeanza kuleta matokeo makubwa ambayo sote tunayashuhudia ikiwemo kuongezeka kwa uzalishaji, huduma za maafisa ugani, idadi ya wananchi wanaojiajiri kupitia sekta hizi hasa vijana na wanawake, kuongezeka kwa usindikaji wa mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi, kuongezeka kwa mitaji, masoko, pamoja na ujenzi wa bandari za uvuvi.
Nimeendelea pia kusisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi bora wanaopenda maendeleo ya wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa badala ya viongozi wanaojali maslahi yao binafsi. Utekelezaji wa mipango yote tunayojiwekea unategemea umadhubuti wa viongozi tunaowachagua kuanzia ngazi ya Serikali ya Mtaa.
Tuendelee Kuchapa Kazi.
I am spending my birthday today ministering in Chennai, India 🇮🇳 for my friend Pastor Chadwick Samuel at his 40,000 member church. What an amazing time I had ministering in his English service today! 🙏🏾🔥❤️
This is the most important news for Tanzania and Zambia.
Zambia has managed to get the best deal for its people. Presidents @HHichilema and @SuluhuSamia have brought our two countries back to Nyerere-Kaunda level.
For Tanzania, @WizaraKilimo under minister @HusseinBashe has secured the best deal for the country (FOREX, USD 250M) and NFRA. Revenues from this one single transaction gives our food reserve agency 30 times more than government subvention to it.
Kudos to Dr. Komba and the team.
This is a truly SADC solidarity. For Zambia, food crisis caused by historical draught is averted.
We need to see more economic collaborations between our two countries, including on power transmission line and non-stop border post initiative.
@Chipokota@JMakamba@mwigulunchemba1@DiggersOfNews@ZambianObserver@DailyNationZM@TheCitizenTz
Tarehe 10/06/2024 Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kimepata fursa ya kutembelewa na Inspekta Jenerali wa Polisi Camilius Wambura, ametoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili ya Chuo.
We have begun!
Discussing “Sustaining Tanzania's economic development: A firm and household perspective” with Prof. Joseph Semboja and Prof. Oliver Morrissey.
Join us: https://t.co/1a9FJ9Zjow
Access the book: https://t.co/OB7Jb3Mc6q
#UONGOZILibrary#Research4SDGs
JANA tulisaini makubaliano ya kuongeza ushirikiano kwenye UWEKEZAJI baina ya Kituo cha Uwekezaji (TIC) cha Tanzania na DIEK ya Uturuki
LEO jijini Istanbul, TIC imewakutanisha wawekezaji 100 wa Tanzania na wenzao 300 wa Uturuki kwa lengo la kushirikiana kufanya UWEKEZAJI pamoja
Mwenyewe niliposkia mara ya kwanza nilibisha, nikaona maigizo. Lakini ni kweli, ila tu ni kitu kinachohitaji ufafanuzi; Pale Mabibo EPZ kuna viwanda vinatengeneza jeans na tshirts mule ndani. In fact kuna LEVI zinatengenezwa mule na brand nyingine inayouzwa kwenye chain ya Primark Uingereza
Kinachofanyika ni kwamba hawa wanatengeneza hizi nguo chini ya mkataba wa AGOA, ambao sehemu ya masharti/faida zake ni kwamba Tanzania inaweza kuuza bidhaa Marekani kwa urahisi huku Marekani wakileta nguo za mitumba (🙄)
Lakini ili kufanya hivi, haya makampuni yanayotengeneza nguo hayaruhusiwi kuuza hizo nguo hapa Tanzania. Kwahiyo sio tu bei yake ni kubwa ndo maana hawauzi hizo nguo, bali mkataba unawazuia kufanya hivyo
Lengo ni kwamba Tanzania inanufauika kwa kodi zinazolipwa na 'uwekezaji' wa hivi viwanda, watu wetu wanapata ajira humo na kupata ujuzi mpya etc.
Kwa makampuni ya nje (si lazima ya Marekani), wao wanapata cheap labour and at the same time wanapata guranteed market huko Marekani - pamoja na manufaa mengine.
Hapo katikati utaratibu huu ulizua mvutano mkubwa kati ya Marekani na Afrika Mashariki. Jumuiya ikataka kuugomea huu utaratibu wa Agoa kuletewa mitumba, ikisema kwamba Marekani inakuja kumwaga manguo yaliyoisha na kugeuza nchi zetu majalala.
Viongozi - nakumbuka wakati huo Waziri alikuwa Mwijage - wakawa moto kweli wakisema haya mamitumba yanaua soko letu la ndani la nguo zinazotengenezwa nchini, kama vile viwanda vya Arusha.
Lakini Marekani kwa kutumia njia zake na maguvu yake, wakafanikiwa kuwalainisha viongozi wetu, wakaendelea na huu mpango.
Ni Rwanda pekee ndio ilisimika, Kagame akasema "this (mitumba) is not about biashara au makubaliano mengine, this is about the dignity of our people. Why cant they wear nguo mpya"
Kagame akabaki peke yake katika jumuiya aliyeugomea huu utaratibu
So yeah, bi mkubwa hafanyi maigizo, ni kitu ambacho kipo ila tu hakijulikani sana kwa umma