Ready for round 2 πΉπΏ
Over 8 million children across seven region in Tanzania reached in Round 1.
Led by @wizara_afyatz, with support from UNICEF and partners, this effort continues to strengthen protection and stop the spread of polio.
Round 2 is here. The work continues.
If I wake up tomorrow and do the exact opposite of everything I do today, am I a #changed person? Or am I simply the #same person who decided to try something different?
Rasilimali ingine yenye nguvu duniani ni kuhusiana na watu muhimu (network). Unaweza kuwa msomi sana au mwenye fedha nyingi, lakini kama huna (network) ni sawa na bure. Yaani; umtafute nani, wakati gani, kwa sababu gani na anapatikana wapi.
@julian_njole@drsabas_@NormanJonasMD @DrMabula Umeona madaktari tu..kwamba wao ndio wako kwenye risk, Je Wauguzi wanaozalisha, kusaidia upasuaji, na ku-dress wound, Je Wataalam wa mishipa ya damu na Vipimo.. Sku nyingine Usirudie au ukae kimya kabisa.
@54ee58cb45a9420 Ili kuelewa hayo Sio lazima uingie bungeni..kwa serikali inayopenda sifa ni lazima Swala kama hilo lingekua published kwa mbwembwe zote.