Nchi zifuatazo zitakuwa na wawakilishi wanne kwenye mashindano ya vilabu ya CAF msimu ujao. Timu mbili kwenye CAF Champions League na mbili kwenye CAF Confederation Cup.
Misri,Morocco,Algeria,Tunisia,Angola,Côte d’Ivoire,Mali,Nigeria,DR Congo,Afrika Kusini,Sudan na Tanzania. #caf