@iAmLyimo Tani elfu 19 ni sawa na gunia 19000, hekta moja ni heka 2.47 kwa maaana hekta kumi ni sawa na heka 24.7 bimaana hapo kila heka moja imetoa gunia 769 kwa heka hamna hesabu hii hata ulime uchi
Unaomba apology! We si umesema hatukuwezi!.. chunga sasa nani unapigana naye!.. sisi wengine hatuna cha kupoteza!..
Haya anaomba msamaha kutumia picha ya watu - ngoja tuisukume twitter kama ushahidi yaani ๐๐
Kiktetashipu ipi unafight jameni? ๐๐
Nikisema staki mazoea huwa namaanisha sana!.. Ukiwa mbishi haya ndiyo matunda yake sasa!..
Iam not DONE with you!.. we have 2 more rounds to go before i throw spanners on the ground!.. JIKAZE my๐
Nadhani sasa tutakuwa tumeanza kuelewana na somo limewaingia sawa sawa yaaani
๐Jumong ni hatari kama Meko na anaweza kuwa hatari zaidi kwa sababu hana uwezo na yuko insecure so atakuwa cery defensive and attacking ili ku create fear
๐Yupo Ikulu ku run agenda za JK
Visasi tu๐ซ
@kassimamari @mlevi1276 Only original phones can copy & paste this image .
โฌโฌโฌ.โ.โฌโฌโฌ
โโโโโโโโ
โขโค โโโโโโโโโโโโขโค
โโ โใผ โโโโโโโโโโโฌ
โฅโโโโโโค
โโฉโโโฉโ I dare you to try this.
@m_mtenga@Kiganyi_ Kwani ili ushiriki kutatua changamoto za mlimba na wanamlimba kwa ujumla ni lazima uwe mbunge unaweza kutatua changamoto hizi bila ya hata ya kuwa mbunge
@yonapavea @Mnali_Stanley_E@noor_abdul Kwa hiyo kwenye hizo idara ulizotaja hapo hao watu wanajiteua wenyewe au wanateuliwa unataka kuniaminisha kwamba anaeteua anawafahamu wote katika hiI idara au nae anateu kwa kuletewa majina yaliyopendekezwa..