PERSISTENCE; nothing in the World can take the place of persistence. Talent won't, Genius won't, Education won't. Persistence and determination alone are all powerful. Show that you don't have to be defeated by anything. A man is what he thinks about all day long.
@emabilly2001 Wakati Fulani huwa inatokea Labda Askari au officer Kutoka TPDF anaenda TP Kama attachment kwa lengo Fulani so akiwa huko Wakati Fulani anavaa Sare za TP kuwafanana nao Ila bado yeye anakuwa M-TPDF
The dating pool is messed up bro. Niggas out here giving women who are not even they wives all the basic needs. Niggas fucked the game up bad. I hate rich niggas
Marekani walipokuwa kwenye ajenda ya Jeffrey Epstein walitolewa kwenye hiyo ajenda na ajenda kubwa zaidi ya Marekani na Israel kulipua Iran.
Kwanini Wabongo, katikati ya ajenda ya katiba mpya, tunatolewa mstari na suala la kama Doto ana ukimwi au la?
Naendelea kupata ushawishi kuwa moja ya kazi nyepesi sana ni kuwaongoza Watanzania. Can you just imagine agenda ya kishenzi kabisa ya kumuongelea Dotto Magari, vyombo vya habari unavyoviheshimu ndio vilikuwa mstari wa mbele.
Sio kwa ubaya nadhani hakuna mkoa unaoongoza kwa waganga wengi wa kienyeji kama Tanga😁
Utakutana na misafara ya magari ya maana yanaongozana kwenda Kilindi,Tanga ndani ndani.
Na waganga wa kule sio matapeli wakiamua jambo lao lazima litokee.
Ndio maana mtu akisema nakuendea Tanga ogopa sana hawatanii🙌
SAMIA KINGS & QUEENS 2.0
Nimekutana clip ya Jongwe, akielezea issue ya “Bongoflava At 30” ilivyokuwa nyuma ya pazia, akigusia mambo ambayo niliyasema ila baadhi wakanishambuliwa as if nimepakazia watu.
Sugu amesema chimbuko, miamala ilivyotembea, etc, hadi yeye kuja kutambua kuwa wanataka kuleta SIASA. Yale yaliyokuja kufanyika au kutaka fanyika na raia kuyagomea ni kielelezo kuwa SUGU ALIKUWA SAHIHI… na mimi pia nilikuwa sahihi.
Ilijengwa Nadharia kuwa huu ni Mwaka wa Hip Hop!! Na kila mtu akataka kujihushisha na Hip Hop, hata watu ambao walidai HIP HOP HAIUZI… Babu Tale eti akadai kum-support Mulla Obo as if maudhui na style yake sio sawa na Conboi, Tamaduni, Tukusa, Frege, Trubadour, Nala Mzalendo, Adam Shule Kongwe, Mantiki Barz, etc. Kiufupi ni wame Take advantage ya Bongoflava kutaka kufanya agenda zao.
So show yao ni ZAO la Nadharia ya “Mwaka Wa Hip Hop” na pia kama alivyosema Sugu, Matokeo ya Mafanikio ya BONGOFLAVA HONORS. Kama kweli lengo kuu ni kuuthaminisha muziki na kuadhimisha muziki au Neno “Bongoflava”, walikuwa wapi miaka 10, 20, 25?
SERIKALI HARAMU inatafuta LEGITIMACY, hivyo itafanya kila iwezalo kuipata, na Bahati Mbaya, WASANII WANA NJAA, hivyo kuwachota akili kwa vijisenti ni dakika sifuri. Kuna Wasanii hata siwalaumu maana hali ya uchumi ni mbaya, na wapo wahuni wetu wanashiriki huku wakijua kuwa mchongo sio ila ndio watafanyaje sasa. Wapo Wasanii wengine wapo Kibiashara tu, na bila kujali issue zingine wanaweka dau tu. Ila Wasanii ambao ni SELLOUTS ni wale wanaojua UKWELI, alafu wanaufumbia macho, na kuu JUSTIFY, na wanataka tuwaone eti wao ni REAL HIP HOP!
Sisi wote tunapenda Muziki, na tunataka Tasnia ikue na iwe na faida kwa wote wenye vipaji, ila tusitumike kizembe. Pia, tukisherekea Muziki wetu, basi tufanye kwa ukubwa na sio kimazoea na kimiyeyusho kisa tu tumewazoesha Mashabiki wetu vitu MEDIOCRE tukijua hawatolalamika.
Haya mliokuwa hamuelewi nisemayo, MSIKILIZENI SUGU
The Leader!
Clip courtesy of @simulizinasauti
@Wakazi Over Me ni balaa mkuu kuanzia video mpaka audio. Mujwahuki (kama sijakosea) alitisha sana. Hii nyimbo inanisaidia kuwasifia watoto hatua za mwanzoni. It’s the best for me.