Hiki CHAMA ni mpango wa MUNGU, TAZAMA NYOMI HILO.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @hechejohn, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Septemba 30, 2026, katika Mji wa Nansio, Ukerewe.
#OperationFreeTunduLissu
REPOST 200.
Tumeuanza rasmi mwezi wa MAOMBOLEZO na MAANDAMANO. May we NEVER forget the blood claimed by Samia Suluhu. Damu ya Watanganyika inene na hasira ya Bwana idhihirike soon. Mungu ibariki Tanganyika!🙏🏽😭
Kesho tunauanza mwezi wa MAOMBOLEZO ya kuwakumbuka wenzetu waliouliwa kwa risasi tangu Oktoba 29 2025, na MAANDAMANO ya kudai Haki na Uwajibikaji.
Maombolezo na maandamano ni tangu tarehe 29 Oktoba hadi 5 Novemba.
Tunafanya KUMBUKIZI hii ili kulinda historia hiyo muhimu.
#MO29
Ndio maana nasema POLISICCM hamuwezi kuaminika kamweeee.
Mtaaminika kwa hao @ccm_tanzania
Na @SuluhuSamia anayewatuma.
Yani Hawa WAHUNI [Vikosi Maalumu] wawashe hiyo LAND CRUISER HARDTOP LX halafu ndani wabebe Bastola Toy...embu na nyie @tanpol chekeni kidogo😂😂.
UONGO Mtupu
Yeyote anayeuliza kwamba Je Wanaharakati hawawezi kujenga hoja Bila Matusi?
Ajibiwe je Watawala hawawezi kujenga hoja Bila Kuteka/Kuua/Kubambikia Kesi?
VIDEO:
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amesema kitendo cha wadau mbalimbali kukutana na kujadiliana hali ya siasa nchini, kimeonesha dhamira ya kuwa tayari kufikia muafaka wa siasa utakao saidia kulikwamua taifa.
Jaji Mutungi amesema hayo katika Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Kutafakari Hali ya Siasa nchini, uliofanyika Dar es Salaam wiki hii. Ameongeza kwamba mikutano kama hiyo inatakiwa kutoa maelezo ambayo ni kwaajili ya kujenga.
"Kitendo cha kukutana hapa, ni dhamira namabari moja kuonesha tuna lengo madhubuti la kufikia muafaka fulani kwa maslahi mapana ya taifa letu" amesema Mutungi.
Tundu Antipas Lissu - jasiri wa Taifa
Asante kwa kujitolea 🙏🏽
Lovely song thanking God for Lissu’s leadership and unwavering commitment to Truth and Freedom
Siku Lissu akichoka mi nitasema hana deni kapambana - ila nitamwombea na kumpa moyo asichoke 🙏🏽 Mungu akusimamie katika kipindi hiki kigumu TAL
#FreeTunduLissu
Yani watanzania wanatekwa.
watanzania tunauliwa.
watanzania wanafungwa magerezani bila sababu za msingi.
Watu wanafanyiwa kila aina ya UNYANYASAJI kama wakimbizi kwenye taifa lao.
Leo hii CHAMA PEKEE ambacho ndilo tumaini letu ambacho kinasimama kutuwakilisha maumivu yetu tushindwe kukilinda kwa kuogopa kuitwa "WANAHARAKATI"?
Mbowe aliharibu sana hii nchi, lazima tuhame kwenye akili za MBOWE kama taifa. LISSU yupo gerezani mpaka leo, angetaka kuishi akili za MBOWE saizi angekuwa kwake.
Leo Lissu kakaza siku 600+ gerezani afu huku nje tuchekee watu ambao wanaleta UPUMBAVU kuogopa kuitwa "Wanaharakati".
Mimi NIITENI KILA JINA ila nitapiga panapouma kila siku mpaka tutoke kwenye VIFUNGO VYA MASISIEMU.
Nchi inaenda kukombolewa siku sio nyingi.
Tumevuka kipengele kigumu kabisa cha kuamini kuwa kwenye CHAMA bila watu fulani basi hatuwezi kusomga mbele.
Utakuwa ni maiti kuamini watanzania MILIONI 70 wote unaweza kuwapigia siasa zako za masaji na soseji.
Ndiomaana tumezika VYAMA shikizi vyote nchini na sasa chama cha siasa ni kimoja tuu (CDM) kipo kazini kinapambana na DOLA.
Ushindi UNAKUJA.🫵🏾
. @HecheJohn Keep standing with the people……….. WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE!!!!!!!!!!!!!
Wewe na Lissu mnashikilia ndoto zetu na matumaini yetu. Kila kitu tumeweka kwenye mikono yenu nyinyi wawili.
Please msituangushe,
Sisi hatutaki maridhiano na waliotuua kabla ya uwajibikaji na ukweli wa October 29. Hatutaki na hatutayatambua maridhiano ambayo hayatosimamiwa na International community. Na bila Tundu Lissu mezani kutuwakilisha Watanganyika hatutatambua maridhiano yoyote. Na wakimnyonga ndio wasahau kuna kitu kinaitwa maridhiano kitakaa kitokee Tanzania. THIS IS A PROMISE!!!!! Ni itakuwa mtifuko mpaka milele!!!!!!
@HecheJohn Sisi wananchi tuliopigwa risasi kama mbwa hatutaki kupeleka pole wala rambi rambi kwa shetani wa miguu miwili alietuua kama kuku.
Tuko tayari kuishi kwa chuki na mshike mshike mpaka haki itakopatikana ila katu hatutaki amani ya kinafki na waliotuua ili washikilie madaraka bila idhini yetu.
Na katu hatutokubali statement za ‘Let Love lead’ tunataka statement za ‘LET JUSTICE LEAD’. Love iliisha October 29 2025, sasa kinachotafutwa ni haki. Haki ikipatikana Love itakuja yenyewe.
Na katu hatutokubali kumtambua Samia Suluhu kama Rais wa Tanzania au serikali yake kama serikali halali.
Huu ndio msimamo wa wananchi, NAWASILISHA!!!!!!