Embe ni tunda lenye nyuzinyuzi kwa kiasi kikubwa. Nyuzinuzi zinahitajika sana katika kufanya mchakato wa metaboli (mwili kutumia virutubisho kujipa nguvu) kwenda vizuri. #AMAGRO
Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani. #AMAGRO
Kula embe kutakunufaisha kwa kulinda macho yako dhidi ya kudhoofu kwa misuli ya macho. Embe ni chanzo kizuri cha vitamini A ambayo ni muhimu kwa ajili ya macho. #AMAGRO#EmbeTanzania
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa ulaji wa embe huweka kiwango cha mwili cha sukari na insulini katika hali nzuri. Husaidia kukabili kisukari. #AMAGRO#EmbeTanzania