HUPASWI KUWA MWANAUME MWENYE TABIA HIZI
1. Kushindwa kusema HAPANA hata pale inapoharibu mipango yako
2. Unakwepa kuwajibika.
3 . Unalaumu watu wengine kwa hali yako.
4 . Kukosa uvumilivu wa mchakato unataka matokeo ya haraka na ukichelewa unakata tamaa
5. Huwezi kudhibiti hisia zako.
6. Unatumia muda mwingi kuzungumza kuliko kutenda
7 . Unaruhusu uoga kufanya maamuzi yako.
8. Unavumilia kutoheshimiwa ili kupendwa.
9. Unakataa kujifunza kutokana na kukosolewa. Unarudia makosa yale yale bila kubadilisha mfumo wako wa maisha
10. Kutaka kumfurahisha kila mtu
Niliwahi muhoji afisa mmoja anae hudumu kwenye mizani congo,mbona mizani yenu mnapima tu gvm kujua uzito wa mizgo inayo ingia na sio kukamata gari zinazo zidi,akajibu,ulishawahi onawapi udongo wa mungu umekanyagwa na gari na ukatoweka?.wewe pakia kadiri uwezavyo kinatacho potea au kuharibika ni gari yako nasio udogo wa mungu.😀😀🙌
Moja kati ya stadi za maisha ambazo kila kijana anapaswa kua nayo ni uwezo wa kutumia akili , machale na hisia kwa uwiano sawa katika kufanya maamuzi 😎 .
#Elimikawikiendi
Fanya ibada.
Piga kazi kwa ubunifu.
Heshimu kila mtu hata kama ni mdogo.
Achana na wanawake na Pombe.
Jipende mwenyewe.
Wajali watu wako wa karibu.
Acha Muda na MUNGU waamue utafanikiwa kwa ukubwa gani.
Ukikubali kuwa maisha ni hatua na sote hatuwezi kuwa kwenye level moja kwa pamoja utaishi maisha yenye amani.
Maisha unayoishi leo ni ndoto za mtu mwingine mahali,kila ulichonacho ni maombi ya mtu mwingine kwa Mungu wake.
Be grateful jipunguzie mizigo ya mawazo.
Miongoni mwa malengo yangu mwaka huu ni mpaka kufikia december lazima niwe nimenunua kiwanja, hata kiwe cha laki 5 misituni ila ni lazima ninunue kiwanja😂🤝
Utakuwa na furaha zaidi kwa 99% pale utakapoanza
1. Kujifunza kuwa peke yako na mawazo yako.
2. Kula vyakula safi na kunywa maji ya kutosha.
3. Kujenga utajiri kwa ajili ya future yako.
4. Kufukuzia purpose, sio approval za watu.
5. Kujiboresha kila siku bila kutafuta validation.
6. Kujizunguka na mazingira yenye positivity.
7. Kuweka focus kwenye jambo moja kwa wakati.
8. Kuacha kujilinganisha na watu wengine.
#ElimuBure