Tukiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof @amanisedo (kati) na tulizungumzia kutangaza Royal Tour kwenye Kantoni za Uswisi, tukianzia na Geneva. Kulia ni Dr. Abdallah Possi Balozi wa Tanzania Ujerumani na Uswisi. #royaltourtanzania#ambassadorsmeetinginznz
��Geneva 🇨🇭
Baraza la Haki za Binadamu
"Tanzania tuko hapa kushiriki katika kutoa matamko mbalimbali ya kitaifa kuhusiana na mada zinazoongelewa. Pia inapobidi kutolea ufafanuzi mambo ambayo tumetajwa ili kujenga uelewa wa pamoja." Prof. Eliamani Sedoyeka
https://t.co/EVTAO3V7uD
MKUTANO wa 51 wa Baraza la Haki za Binadamu unaendelea Geneva, Uswisi. Ujumbe kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Eliamani Sedoyeka unahudhuria mkutano huu vikiwemo vikao vya pembezoni.
With the Permanent Secretary for the Ministry of Education, Science and Tech, Prof Sedoyeka and the Chairperson for Tz Education Network @FarajaNyalandu at the Education Research Symposium organised by Edtech hub and the British Council, focusing on Edtech, Inclusion, CPD & Data
Had an engaging discussion with Prof Eliamani Sedoyeka @amanisedo , Permanent Secretary, Ministry of Education @wizara_elimuTz to discuss cooperation in Education sector b/w #IndiaTanzania
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu cha Arusha (Institute of Accountancy Arusha - IAA) Profesa Eliamani SEDOYEKA akifurahia na wageni [Mheshimiwa Adam Omar Kimbisa na @dr_makame] waliozuru viwanja vya michezo chuoni kwake ikiwa ni sehemu ya michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki.