🌍 Tanzania & Kenya launch a new cross-border fiber link at Horohoro!
📡 130km route connects Mombasa to Tanzania’s NICTBB
🌐 Boosts internet access via submarine cables
💸 Lowers broadband costs & improves reliability
#EastAfrica#DigitalConnectivity#OktobaTunatikiSamia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni zaidi ya kiongozi , ni Profesa wa siasa za utulivu, mshikamano na mabadiliko chanya. Ameibadilisha siasa kuwa jukwaa la matumaini. Katika kila kauli yake kuna maarifa, katika kila hatua yake kuna hekima.
#kaziNaUtu#TunasongaMbele
RAIS MWINYI:HAYATI MZEE MKAPA NI MFANO WA KUIGWA KWA MCHANGO WAKE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Hayati Mkapa atabaki kuwa mfano wa kuigwa kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameelekeza kila wizara kupitia sera zake, na zile zisizoendana na maudhui ya Dira 2050 zirekebishwe kwa haraka kabla ya kuanza utekelezaji wa dira hiyo, Julai 1, 2026.
Mama anahakikisha mipango na malengo ya serikali yanafungamana.
#OktobaTunatikiSamia
Mama wa Dira Safi ya Maendeleo – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Katika dunia inayotafuta mwelekeo, Tanzania ina bahati ya kuwa na kiongozi mwenye maono makubwa, moyo wa kizalendo na dira thabiti.
Kupitia Dira ya Taifa ya
#kaziNaUtu#TunasongaMbele
Haya ni maoni ya wananchi juu ya Tanzania wanayoitaka kwa miaka 25 ijayo.
Rais Samia Suluhu anakuwa Rais wa pili katika historia ya Tanzania kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo.
#OktobaTunatikiSamia
Tanzania yaongoza kwa amani Afrika Mashariki (Global Peace Index 2025).
1. 🇹🇿 Tanzania
2. 🇷🇼 Rwanda
3. 🇺🇬 Uganda
4. 🇰🇪 Kenya
5. 🇧🇮 Burundi
6. 🇸🇴 Somalia
7. 🇨🇩 DR Congo
8. 🇸🇸 Sudan Kusini
#OktobaTunatikiSamia