@RahmaMwita@Pirlo60 Sikujua kama wewe Binti ni HAMNAZO kiasi hicho, wewe humjui zitto kama tunavyomjua sisi utatapeliwa na kutumika saana mpaka akili ikukae sawa utakua ushachelewa
@fatma_karume We mama tulikuheshim saaana kwni wewe huoni jinsi watanganyika tunavyotekwa na kuuwawa? Tushakushtukia huna jipya gwajima katusemea watanganyika wenzake. Tuache Linda heshima yako
@GKigosi97@Phbhimself Maisha magum saana, kwanza Kuna pesa za aina 2, cuban chavito(chabito) au Dola za Cuba na peso au moneda nacionale, Kuna maduka huwezi nunua na cuban peso unatakiwa ununue cuban Dola Kwa kutumia peso ndio ufanye manunuzi
@Phbhimself Mimi nimeishi Cuba, Jiji la Havana, Matanzas na las tunas.. inaonekana ulicho andika nawewe umekisikia tu, ila uhalisia wa Cuba za zaidi ya story yako
@KennedyMmari Kazi hiyo ilifanywa na wa Anunaki kutoka sayari ya nibiru. Wameyajenga hadi america, hiyo teknolojia kaileta Anki, Enlil na wafanyakazi wao waigigi walikuja nao huku earth planet.
@kaji_sijo Huyu jamaa ni muongo saana analeta hadithi nyingi za kutunga huo ni mkao wa meditation..aina Bora ya ku absorb Kundalini energy kupitia muladhara, swadishtana, manipuraka,anahata, agna na sahasrara chakra. Hana anachokijua kuhusu meditation
@Hancewayanga@Labella_Mafia95 Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Joseph kabila majina yake halisi ni hypolite kanambe mnyarwanda,James kabharebe mnyarwanda best ake kagame na alikua CDF DRC, yeye,kagame na m7 ndio waliomtoa mobutu ilikua plan ya CIA. Fuatilieni haya mambo ni zaidi na myaonavyo
@Phbhimself Andika historia za wabantu wenziona asili ya mtu mweusi acha ku copy habari za wazungu na kuzi paste huu nao ni utumwa mbaya sana, kuhusu meditation Huna unachokijua acha kiwaongopea watu
@fundimitamboGk @Phbhimself Huyu hana anachokijua anaokoteza taarifa kama yerick Nyerere mtaani na kuziandikia, anaongea habari za meditation hata hajui muladhara, swadistana,manipura, anahata, vishundhi na agna chakra, dogo hamna kitu hapo