Hatukuanza kumwamini Mungu kwa sababu tulikuwa na mengi. Tulianza kumwamini baada ya kupoteza kila kitu.
Ndoto zilipokufa, mipango iliposhindikana, na kila tuliyoshikilia likaanguka, ndipo imani ilipoanza.
Tulipokuwa hatuna pa kwenda, tulishikilia imani kama chaguo la mwisho.
Original And Quality Pure Lather Sandals
Size 40/41/42/43/44/45
Price Tsh. 65,000/=
Call/Whatsapp +255713395108 / +255764107780
Location : Kariakoo Msimbazi Jengo La DDC 2nd Floor
Tunafanya Delivery Ndani Na Nje Ya Nchi
NYOTE MNAKARIBISHWA π KARIBUNI SANA π
Original And Quality Pure Lather Sandals
Size 40/41/42/43/44/45
Price Tsh. 65,000/=
Call/Whatsapp +255713395108 / +255764107780
Location : Kariakoo Msimbazi Jengo La DDC 2nd Floor
Tunafanya Delivery Ndani Na Nje Ya Nchi
NYOTE MNAKARIBISHWA π KARIBUNI SANA π
Kama Unaogopa Kuangalia Salio Lako, Kuna Namna Utakuwa Umetumia Hela Vibaya Au Umefanya Matumizi Ambayo Hukuyapanga. Tiba Ni Wewe Kukaa Na Wewe Kuzungumza Na Wewe Namna Unavyotumia Hela Zako Ni Mazungumzo Magumu Lakini Ni Muhimi Sana β
Usicheke tone la machozi la mwingine, maana kesho hujui nani ata kufutia lako. Dunia ni duara, huzunguka kwa siri za Mungu, leo una tembea juu, kesho unawezi kuwa chini, na unaye mwona dhaifu leo, ndiye atakaye kuwa msaada wako kesho.
Mwanasheria Mzuri Anaijua Sheria, Halafu Kuna Mjanja Mmoja Yeye Anamjua Hakimu.Endelea kufanya usumbufu, Usijihisi unajipendekeza, Usiache Kufosi, Kuna fursa Huwa hazifunguki kwa Kugonga Mlango Mara moja Never Give UpπͺπΌ HAPPY BIRTH DAY BROTHER ππππ
Usiitumie 100,000 yote kununulia kitu cha hiyo 100k uliyo nayo hakakikisha ukiwa na hiyo hiyo unakuwa na matumizi nusu yake.
Usiyaishi maisha ya wengine
Yaishi maisha yako ya uharisia wako
Hisia mbaya ni kuyaona maisha yako yanapita mbele yako, Bila ya kuishi maisha Uliyo yatamani Sisi wengine siku haianzi kwa chai, Inaanza kwa kuitafuta hiyo Chai. π§
Furaha yako inatengezwa na wewe mwenyewe kifo ni mtihani ambao kila mtu ataufanya siku yake ikifika na ataenda kuishi huko mda mrefu kuliko duniani #Amdunjr#TuishiKwaUpendoπ«Ά
Mafanikio yanahitaji kifua. Ukiyatangaza kabla hujayapata Kuna hatari ya kutoyafikia..
Na ukiyasimulia baada ya kuyapata Kuna uwezekano wa kuyapoteza..
Kwasababu ya husda na chuki, ficha neema zako..