@emabilly2001 Milambo Shule yangu naipenda ร 2
Iko Tabora mjini, mkoani tabora kanda ya magharibi
Motto wetu siku zote ......................... ๐ถ ๐ต
@Labella_Mafia95 Tulivyokua JKT enzi hizo Mwakunyange ndio CDF kuna kachenja tulikuwa tunaimba, "Tunayo majeshi ya kutosha TPDF, Police, Magereza na Jeshi la Mgambo" ukisikia mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama maana yake ndio mkuu wa majeshi yoote
@Kingvannytz_ GENERICS INAKUBARIKI MTOTO WAKO KWA 25% MPOKEE NA UMTUNZE VEMA. KITANDA HAKIZAI HARAMA. ALL MEN WE RE NOT 100% THAT WE ARE BIOLOGICAL FATHER, INSTEAD TUNAPOKEA TU MAPOKEO BILA KUUMIZA VICHWA......