@NdoromaV ππ siku ccta nikimpa sim Nitamwambia km kuna Mweka Chambo.
Mi ni Boy, but ccta alinipa Sim niiflash na Kumfungulia maApp, so nikaamua kuSlide nayo Twitter. Na Sio Parodyπ
@joestubborn@CloudsMediaLive Huku kwetu Newala kuna Dogo kapewa Mali na Baba yake angali hai, Mzee kafanya hivyo kuhofia Akifariki mapema Mwanae atakosa urithi kulingana na Imani ya Dini yake.
Naomba Niishie Hapa kwakuwa mijadala ya kidini ni Endless.