"Njia pekee ambayo Uongozi unaweza kutunzwa kama Uongozi wa watu ni pale ambapo Viongozi wanapokua na sababu ya kuogopa hukumu kutoka kwa Watu" J.K Nyerere
Tulipofika Chini ya Kilele cha Mlima,Kila Mmoja alikuwa anafuraha sana ya Kufika Chini Salama.
Msanii @aminitz alinifuata na kusema Hongera Bro!
Nikaendelea kujifunza NIDHAMU KUBWA Ndani yake Jambo ambao wengi linatushinda.
NIDHAMU ni Msingi Mkuu wa Mafanikio.
#TwenzetuKileleni
Zanzibar tukutane Amani stadium na baadae after party pale Enttebe
Niko na rich_onee https://t.co/LnVXXMeJEh @aminitz@fobyofficial#KunjaSuraKunjuaRoho @ Zanzibar Market Darajani https://t.co/po5bxHDKKx
Kitu kipya kutoka kwa @aminitz ft @OfficialLinah#Nimenasa, bofya
https://t.co/E1OqO5XeQo ukajione video nzima.
Halafu nimesikia @aminitz kama umenitaja Suphian nimpeleke nani Singida eti? 😁😁 🔥🔥