Environmentalist🌴Chairperson @wasterecyclertz CEO @zaidirecyclers I Evangelist @takaniajira F/ Member @TanzaniaSA looking to invest in a genuine startup
Wow, this just came as a surprise, by the way this is our first high-level recognition in Tanzania 🇹🇿. We thanks God, our Zaidi team, all our supporters, the team who prepared this event, the government 💚💙❤️♻️🇹🇿
@takaniajira@zaidimotoex#ZaidiApp#WastePickersApp#TPSDAY2022
Africa's Largest Solar Manufacturing Plant Is Now Operational in Kwala, Kibaha. One Factory Has Already Changed Tanzania's Export Geography.
Tanzol's solar manufacturing plant in Kwala, Kibaha is operational, confirmed by TISEZA Director General Gilead Teri in a May 2026 published podcast interview and by industrial zone documentation whose specifics describe a USD 300 million initial investment, a USD 500 million second phase bringing total investment to approximately TZS 2 trillion, first-year export projections of USD 300 million to the American market rising to USD 600 million in year two, against Tanzania's 2024 total US exports of USD 200 to 211 million.
The facility is 1,500 metres long, equipped with high-automation machinery and large-volume production lines meeting international certification standards for competitive export markets. It requires at least 50 MW of dedicated electricity and more than 5,000 cubic metres of water daily, demands whose satisfaction is forcing rapid infrastructure upgrades across the Kwala industrial zone. A USD 50 million steel processing plant, Tanzania's first of its kind, is also under establishment in Kwala, complementing the solar complex and reducing dependence on imported steel whose consumption the SGR, port construction, and industrial expansion are generating.
https://t.co/GuMw1E0hHg
Dikteta Samia wewe unajifanga hauoni
lakini kila kona TAIFA linaomboleza, Hii message hapa chini ni wazi unaambiwa lazima tuomboleze na umetokana na vifo
hatuwezi kuwa na serikali ya DAMU
Declan Rice showed today why he’s one of the very best. From his goal saving tackle on Murphy to his assist for Mikel Merino, this is up there with his best for #Arsenal. He managed all phases of the game, and when he moved forward, he pushed everyone with him. World class.
@KennedyMmari Sema Mkuu Usichokijua Ni Kuwa Hata Wewe Una Kelele Kwa Kia Unapata Wa Kukuwezesha, Ingekua Kelele Ni Za Kwako Usingeenda Kuomba Watu Wakusapoti, Ndo Falsafa Ilivyo, So Muhimu Kuheshimu Kelele Za Wengine~ Nimeweka Tu Mtizamo Wangu
VIDEO:
Wadau wa mazingira jijini Mwanza wametaja kukithiri kwa uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka hasa za plastiki kuwa umesababisha kupungua kwa samaki Ziwa Victoria hali ambayo pia inatishia kupotea kwa viumbe hao na wengine.
Wakizungumza kwenye Kilele cha Siku ya Usafi Duniani, Afisa Mazingira Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Fanuel Kasenene amesema kwa mujibu wa utafiti walioufanya mwaka 2022 kwenye vyanzo vya maji 69 katika Ziwa Victoria walibaini uwepo wa taka nyingi katika sakafu ya ziwa hilo.
"Mwaka 2022 tulifanya tafiti kwenye Ziwa Victoria katika vyanzo 69 na mimi nilishiriki nikiwa na Shirika la Emedo, katika sakafu ya ziwa Victoria kuna taka nyingi ikiwemo plastiki, nyavu, pamoja na mabaki mengine sasa jitihada na mikakati tunayofanya ni kuwaamsha wananchi kushiriki katika kuhifadhi taka na kupeleka maeneo husika," amesema
Kasenene ameongeza kuwa "Watu wamekuwa wakilalamika sana hasa wavuvi kwamba samaki wamepungua, baadhi ya mimea imepungua ndani ya ziwa sehemu ya mazalia ya samaki ni kwasababu kuna kitu kipya kimeingia. Kuna tafiti zilifanyika na kubaini baadhi ya samaki wakiwa na chembechembe za vipande vya plastiki kwa asilimia 20 kwa samaki ambao walipatikana kwenye utafiti huo,".
Akiunga mkono hoja hiyo Afisa Mazingira Shirika la Usimamizi wa Mazingira na Maendeleo (EMEDO), Lawrence Kitogo amesema takwimu zinaonesha takribani tani 600,000 huzalishwa kila siku duniani hali ambayo inatishia pia kuongezeka kwa maradhi ya saratani hasa kwa wanawake.
"Takwimu zinaonesha taka zinazozalishwa ni takribani tani 600,000 kila siku sasa kama ni hivyo zidisha mara 30 kwa mwezi, inamaana taka tani milioni 18 za taka zinazalishwa kwa mwezi na taka hatarishi ni za plastiki," amesema
Kitogo ameongeza kuwa "Kwahiyo kuna hatari kubwa ya samaki tunaowatumia kuna uwezekano wakawa na chembechembe na ndio maana mpaka saizi tafiti zinaendelea kuhusu Saratani kwa Wanawake bado ni kubwa Kanda ya Ziwa, bado utafiti unafanyika kujua kama kansa hiyo inatokana na plastiki,".
Katibu Mkuu Jumuiya ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa katika nchi zinazozunguka ziwa hilo (LVRLAC) Billy Brown amewataka wananchi kuendelea kutunza mazingira kwa kusimamia na kuhifadhi taka katika maeneo yao.
VIDEO:
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo Monalisha Joseph Ndala @monalisandala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa
Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama aliyesajiliwa mkoani Dar es Salaam
Hata hivyo Monalisa ametoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutoka hadharani na kuikataa barua iliyotolea na uongozi wa chama hicho tawi la Mafifi huku akisisitiza kuchukua hatua
Monalisa anaendelea kusisitiza kuwa chama chake hakikufuata utaratibu katika uteuzi wa mgombea Urais wa chama hicho Luhaga Joelson Mpina.
VIDEO:
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo Monalisha Joseph Ndala @monalisandala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa
Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama aliyesajiliwa mkoani Dar es Salaam
Hata hivyo Monalisa ametoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutoka hadharani na kuikataa barua iliyotolea na uongozi wa chama hicho tawi la Mafifi huku akisisitiza kuchukua hatua
Monalisa anaendelea kusisitiza kuwa chama chake hakikufuata utaratibu katika uteuzi wa mgombea Urais wa chama hicho Luhaga Joelson Mpina.