True liberation for Africa requires leaders who genuinely care about their people prioritize development and resist external manipulation It's time for a new generation of leadership that puts the interests of their citizens and works towards a prosperous and independent Africa.
X Family
Miaka 11 iliyopita dada yangu Atupakisye alikuwa na afya njema!
Lakini leo maradhi yamemsumbua
Mpaka sasa yupo hospitali😔
Ninapita kwenye darasa fulani ambalo Mungu ananipitisha, ninajua nitashinda
Nahitaji mmoja wa kuungana nami katika maombi
Natanguliza shukran
NDANI ya Jina la Yesu imo nguvu:
- ya kuponya mwili, nafsi, na roho
- ya kuokoa watu kutoka dhambini
- ya kurejesha waliopotea/ vilivyopotea
- ya kuinua nafsi zilizoinama
- ya kubariki kila kilicholaaniwa
Liite Jina la Yesu.
Mtu muungwana San huyu huwa anasaidia jioni kupunguza foleni Barbarani siku za week3nd hapo Tabata segerea stand barabarani, Naamini atapatikana akiwa hai
AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30,mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.
Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.
Watu hao waliojitambulisha kama askari wa Jeshi la polisi walikuwa watano,walivamia ofisi hiyo wakiwa wamevalia kiraia na kumuweka Chini ya ulinzi.
Ndipo alipowahoji waoneshe vitambulisho lakini wakakaidi na kudai wanampeleka kituo cha polisi Tabata,atajua huko huko.
Walitumia nguvu na kumfunga pingu kisha wakamuingiza kwenye gari walilokuja nalo aina ya Landcruiser hardtop, ikiwa haina namba
Lakini mashuhuda waliokuwa nje ya ofisi wanasema,gari hilo halikuwa na namba kwa nyuma ila kwa mbele liliandikwa "STL" tu.
Gari hilo halikuelekea Kituo cha polisi Tabata kama walivosema bali lilielekea njia ya kwenda kinyerezi.
Familia ilianza juhudi za kumtafuta vituo vyote vya Polisi Jijini Dar es saalam bila mafanikio
Tulianza kituo cha polisi Tabata, tukaambiwa hayupo na hawana taarifa zake,Tukaenda kituo cha polisi cha Staki Shari,Kinyerezi na Buguruni pia hawakuwa na taarifa zake
Kesho yake asubuhi tuliendelea na vituo vingine tulianzia Central, Oysterbay na vituo vyote bila Mafanikio
Tumezunguka Hospitali zote jijini Dar es saalam na vyumba vya kuhifadhia maiti "Mortuary" bila Mafanikio.
Tulifungua taarifa kituo cha Polisi cha Staki Shari na kupewa RB namba STK/RB/6642/024
Baada ya siku ya tano bila Mafanikio tumeenda Central polisi kufungua jalada la Uchunguz,tumeambiwa upelelezi unaendelea.
Kwa niaba ya Familia tunaomba mtu yoyote mwenye taarifa kuhusu ndugu yetu awasiliane na Baba yake GIDEON kwa namba 0786878133 au kwa namba ya rafiki yake ambayo ni 0624497811
Asante sana.
Watawala wetu ,lazima mjue tumeambwa wote tuishi hapa duniani na tunapita tu ,kila mmoja atavuna alichopanda ,
Kwa nini VITU VYA MPITO VIMEWATOA UTU ?
PICHA NI KUTOKA JIRANI ZETU CONGO ,MALI WALIZOPEWA NA MWENYEZI MUNGU WOTE WACHACHE WANATUMIA KUONDOA MAISHA YA WENZAO
Watawala wetu ,lazima mjue tumeambwa wote tuishi hapa duniani na tunapita tu ,kila mmoja atavuna alichopanda ,
Kwa nini VITU VYA MPITO VIMEWATOA UTU ?
PICHA NI KUTOKA JIRANI ZETU CONGO ,MALI WALIZOPEWA NA MWENYEZI MUNGU WOTE WACHACHE WANATUMIA KUONDOA MAISHA YA WENZAO
Kuna Rafiki yangu kaniuliza mbona wewe huwa huumii na matokeo hata siku moja ,
Nikamjibu Mimi sio shabiki wa Moira Bali mpenzi wa mpira ,
Maana nafurahia safari inavyoendelea zile Vurugu na vitu Vya ushirikina havipo ball inatembea tu
@NyandaAmosi@mpambazi@iam_JacksonJ
Kuna Rafiki yangu kaniuliza mbona wewe huwa huumii na matokeo hata siku moja ,
Nikamjibu Mimi sio shabiki wa Moira Bali mpenzi wa mpira ,
Maana nafurahia safari inavyoendelea zile Vurugu na vitu Vya ushirikina havipo ball inatembea tu
@NyandaAmosi@mpambazi@iam_JacksonJ
Ni furaha kubwa kutangaza kuwa @mazaohub imepata uwekezaji mpya kutoka kwa Nordic Impact Funds! Uwekezaji huu utatuwezesha kuongeza kasi ya kuleta mabadiliko makubwa katika kilimo Tanzania na nchi jirani za Africa Mashariki.
So Kuna Hii Makala Nimeituma Sasahivi Kwenye Telegram Community yangu
Unaweza Kuungana na Wengine Zaidi ya 4,200+ Kuisoma BURE Hapa Chini 👇
https://t.co/BcNQMaYhWJ
P.S: Ingia soma ukiona Hujapata VALUE ni Ruksa Kutoka
Hakuna Kitu Kinachowafurahisha Wanasiasa na Watawala Kama Kuona 90% Ya Watu Wanaowaongoza Wanapenda:
“BURUDANI”
P. S: Ukitaka Kuelewa zaidi kuhusu hili Kasome Historia Ya Watawala wa Roma!