Google pays $1,500 per day, but most people don’t know how
You can start earning too if you have
🌐 Internet
📱 A smartphone
⏰ A bit of time
I’ve created a step-by-step guide for this
Want it for FREE?
✅ Follow+Like
💬 Comment “Google”
🔁Re Tweet
Must follow me to get it, only 24 Hours
Sema Taifa Kama Tz na Rasilimali Zake, Haifai Mpaka leo Kwenye Kampeni Marai tupewe Ahadi za Maji, Umeme, Barabara! Hivi ni Vitu Basic Sana Vilitakiwa Kumalizwa Mapema ndani ya Miaka 10 tu huko Nyuma.
Afya ndio mtaji wa kwanza
1. Vaa condom ulinde uume au uchi wako
2. Punguza pombe uyalinde maini na figo
3. Punguza sigara uyalinde mapafu
4. Acha kunyonya uchi ulinde mdomo na koo lako
5. Acha kuangalia video za ngono kulinda afya ya akili yako na nguvu za kiume
6. Ukiwa barabarani kama ni dereva kuwa makini sana usisababishe ajali
7. Acha kula sukari na ufanye mazoezi , uzito mkubwa sio ishu walahi
8. Jifunze kukontrol hasira na pressure usije kuua watu bure au kujidhuru
Nyingine ongezeni hapo ..........
Kwa miezi miwili nimekua niki muuguza Baba, lakini leo, he's no longer with me.
This is tough, honestly sipo kwenye hali nzuri sana mentally.
Lakini Mungu mwema. R.I.P Dad!💔
Kijana wa kitanzania unae amka na kujituma kutafuta riziki kihalali kwa namna moja au nyingine, Naomba nikupongeze, naomba nikupe moyo usikate tamaa safari inaweza kuonekana ndefu sana sasa hivi lakini utafika tuu 🙏