@CRDBBankPlc na @airtel_tanzania tangu ijumaa ya tarehe 4 mwezi huu,nimehamisha pesa kimakosa toka benki kwenda kwenye cm,tangu trh5 kuirudisha hamtaki,nyie benki mnasema airtel hawajairudisha na airtel wanasema wameirudisha sasa hapo nimuelewe nani?
Senator wa Marekani analipwa mshahara dola 174,000$ kwa mwaka, sawa na shilingi millioni 420 za Tanzania.
Mbunge wa Tanzania analipwa millioni 500+ kwa mwaka.
Tanzania ni moja kati ya nchi 40 maskini zaidi duniani kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.
Nchi yenye #amani.
@Roma_Mkatoliki@FabianLikachika Adamu mkewe alikua akizaa watoto mapacha wakiume na wakike,na hao mapacha walikua hawaoani,ila walikua wakibadilishana na ndio hapo ugomvi ulipo tokea,kwani kaini aliona pacha wake nimzruri zaidi hivyo alitaka amuoe mwenyewe kitu ambacho kilikua hakiwezekani