Nikiendelea na ziara yangu ya kikazi nchini Uturuki, leo nimeungana na viongozi wengine pamoja na wadau mbalimbali katika Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika.
Tanzania inaendelea kuwa kinara katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. Kupitia mkutano huu, tunalenga kuvutia wawekezaji zaidi ili kuendeleza mafanikio yaliyopatikana katika eneo hili. Mafanikio hayo yametokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, zikiwemo kufikisha umeme katika vijiji vyote, kutoa ruzuku kwa mitungi ya gesi, kufunga majiko banifu katika taasisi za umma, kutoa unafuu wa kikodi kwa wawekezaji na kuimarisha ushirikiano na wadau wa maendeleo.
Serikali inaendelea kuchukua hatua hizi kwa kutambua kuwa matumizi ya nishati ya kupikia isiyo safi yanahatarisha afya za wananchi, yanachangia uharibifu wa mazingira na kuathiri shughuli za uzalishaji.
Today, I met my Bazzukulu, a group of young African content creators who use social media and other online platforms to tell African stories and showcase our continent’s resources, opportunities, cultures and potential.
I first took interest in their work during the recent Russia-Africa Summit, and invited them to come here.
I took them through the Five Historical Missions of Africa: liberation, democracy, economic prosperity, strategic security and African unity. I was pleased to see how their work promotes Africa’s potential and the spirit of Pan-Africanism. I encouraged them to continue using their voices and platforms to tell the African story and promote the interests of our people.
Nimewasili jijini Antalya, nchini Uturuki ambapo nitaungana na viongozi wengine katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaolenga kujadili hatua za kupunguza na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Pamoja na mambo mengine, nitafanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdoğan. Nitahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali, na kushiriki kikao cha ngazi ya juu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia barani Afrika.
Tanzania inashiriki mkutano huu ikiongozwa na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yanayolenga kujenga Taifa linalozingatia uhifadhi wa mazingira na kustahimili mabadiliko ya tabianchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
"The great secret is a controlled imagination and a well sustained attention, firmly and repeatedly focused on the object to be accomplished."
— Neville Goddard
Under pressure in LIFE:
You can rush and still pass
You can panic and still survive
You can force it and still get away with it
Under pressure in TRADING:
You rush = you blow the account
You panic = you close early
You force it = revenge trades
“When we understand that each day isn't one more day, but one less, we'll start giving more value to the things that truly matter.”
- Modern Proverb
This pairing offers a powerful reminder of life’s fleeting nature and the importance of living intentionally. Norman Rockwell’s Barefoot Boy Daydreaming beautifully captures the value of being present, while the accompanying quote reminds us that time is limited and constantly slipping away. Together, they encourage us to look beyond everyday distractions and appreciate what truly matters: peace, meaningful connections, and moments of quiet reflection.
Rockwell’s depiction of a young boy relaxing beneath a tree with his loyal dog perfectly illustrates this message. It’s a simple, peaceful scene that reminds us how easily life’s most meaningful moments can go unnoticed. Sometimes, the greatest treasures aren’t grand achievements or extraordinary experiences, but the quiet moments we take the time to enjoy before they become memories.