64 Christians in Nigeria were hacked to death by Islamists last week.
Candace Owens? Silent.
Owen Shroyer? Silent.
Tucker Carlson? Silent.
Ana Kasparian? Silent.
Marjorie Taylor Greene? Silent.
The media? Silent.
Kigogo hakuwahi kuchukuliwa Acc
Kigogo hakuwahi kuwa na mission yoyote
Kigogo alizikwa pale alipoamua kufika dau la highest bidder na kuanza kulala kitanda kimoja na adui wa wengi
Kifo cha Kigogo ni copy & paste kifo cha Zito Kabwe. Kilichowaponza ni usaliti na umalaya-malaya
Huyu ndo ZCO Faustine Mafwele ambae amehusika kwenye tukio la kutekwa Balozi Polepole.
Huyu ndo anajua wapi wamemficha Balozi Polepole
Namba zake za hizi -
0755855743,
0787922913
Kila mmoja ampigie amwambie amwachie Balozi Polepole.
#FreeBaloziPolepole
Hivi kosa la Polepole ni kukosoa tu au kuna kitu kingine? Kama ni kukosoa, mtu anaweza kuwa na amani gani ya moyo kumuumiza mtu kwasababu tu anamkosoa kitu ambacho hata Mungu anafanyiwa?
Imprisoning people won’t result in love towards you. Abducting individuals won’t make them fear you. Arresting all of us isn’t feasible. The Rotten regime is in its evenings. We will triumph and liberate ourselves from oppression one day. Thanks for being strong out there.
1/2. Kuna tamko lolote limetolewa na Chama tawala kuhusu kutekwa Kwa Hamphrey Polepole?. Yaani zaidi ya masaa 24 toka Kiongozi wenu mstaafu wa Chama aliyewahi kuhudumu kama Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama anatekwa na mnakaa kimya. Hii ni AJABU!
On this second anniversary of Hamas’s heinous October 7 attacks, the United States remains steadfast in our support for Israel in our common fight against terrorism and our shared commitment to bringing an end to the suffering of all hostages and their families.
@POTUS's 20-Point Plan offers a historic opportunity to close this dark chapter, and to build a foundation for lasting peace and security for all.
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta Augustino Polepole ili aweze kutupa ushirikiano na kutoa maelezo yake na uthibitisho wa shutuma alizotoa kwamba, Afisa wa Jeshi la Polisi alihusika katika tukio alilolitolea taarifa kupitia mitandao ya kijamii. Hii inaenda sambamba na kututhibitishia kuwa, Humphrey Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Je CCM Wameshatoa Toa Tamko La Kulaani “Kutekwa” Kiongozi Wao Mstaafu?
Je Bunge Limeshatoa Tamko La Kulaani Kutekwa Kwa Mbunge Wake Mstaafu?
Je Wizara Ya Mambo Ya Nje Imeshatoa Tamko La Kulaani Kutekwa Kwa Balozi?
Ukimya Wa Taasisi Hizi Alizozitumikia Polepole Unamaanisha Nini
Brother Lema unadhani wao walikuwa hawajui?, wanajua ndo maana wameungana kuzuia bimkubwa na makarao wake wasipate aibu hata kama wakipata basi iwe ndogo 😁😁😁, hapo ndo unagundua mahakama nayo inahitaji ukombozi
Magari yanayokuja namna hii mtaani kwenu jua yanatafuta damu ya mtu
Muda wa kukamata watu mwisho saa 12 jioni kupitia serikali ya mtaa
Msiruhusu huu ujinga yakamateni haya magari
Mtakao wakuta ndani wapigani picha na kusambaza mtandaoni hao ndio wasiojulikana
Jeshi la Polisi limesema linaendelea kumtafuta Augustino Polepole, kaka wa Humphrey Polepole, ili atoe maelezo na uthibitisho wa shutuma alizotoa dhidi ya afisa wa Jeshi la Polisi kuhusika na 'kutekwa' kwa Polepole.
Polisi wamesema Augustino anahitajika ili kuthibitisha kuwa, Polepole alikuwa ni mpangaji ama mkazi wa nyumba aliyodai kuwa utekaji ulifanyika.
“Katuga Mh. Tunaomba twende kwenye health break tutaendelea.
Mhe. Lissu anasema sawa twende maana huyu shahidi ili nimalizane nae nahitaji siku zingine kama mbili au tatu. Kwahiyo bado tuko nae sana. Siwezi kumuacha haraka.” 😂😂
🚨🇬🇧 “UK Council set to BAN Christians from praying for people”
“Christian Preacher’s could be jailed for up to two years”
“You could go to prison for Prayer, handing out The Bible or Leaflets”
In 2025 once Great Britain - Islamic Prayer is permitted to bellow out loudly 5 times a day across Cities, whilst Christians can get jailed just for praying ‼️
Shahidi namba 1 wa serikali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, George Bagyemu ameiambia mahakama kuu kuwa hakuna kesi yoyote ya kisiasa aliyoifungua (kuipeleleza) halafu mshtakiwa akakutwa na hatia.
Ya Dokta Slaa ilifutwa, ya Lembeli ilifutwa na ya Heche ilifutwa.
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemtesa sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha. Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality. Justice for Polepole.