That's a wrap! ๐
If you enjoyed this thread:
1. Follow @hey_ankita for more AI knowledge.
2. RT the tweet below to share this thread with your audience.
๐Turn on notifications for daily Al updates, new tools and tips!
Hongera @SuluhuSamia kwa kusherehekea kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa. Tunakuombea kwa Mola akujalie umri mrefu wenye furaha, afya njema, baraka na mafanikio tele. Tunakuombea ndoto zako kwa nchi yetu, kwako binafsi na familia yako zitimie. Hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya kwa ajili ya Tanzania. Happy Birthday!