@lifeofmshaba Acheni upotoshaji na uchochezi usiokuwa na tija na muwe na adabu kwa viongozi wa nchi maana hata vitabu vya dini vimeagiza.
Na tufate utaratibu.
Usalama barabarani unaanza na wewe/mimi.Kujilinda kwako/kwangu ndio kuwalinda watumiaji barabara wenzako/wenzangu.
Kuwa makini uwapo barabarani. Fuata kanuni na sheria za usalama barabarani kila wakati hata unapokuwa peke yako barabarani.
#AjaliSasabasi#HakiHainaJinsia
@mtanga18@MhubiriWaTaifa@MariaSTsehai Una ushahidi wowote kuwa Tz hatuna Raisi?
Umetumia vigezo gani mana naona kama umechanganyikiwa kwa kusema hivyo!!ππ.
Na wataka niache mapenzi yapi?? Hebu nikumbushe.
Mawazo ya wapiga kura walio wengi, watafanya uamuzi wao baada ya 2025/ aongezewe 10 mpaka 2035, atakuwa amekamilisha ndoto yake ya safari ya kufikia nchi ya maziwa na asali
@lifeofmshaba Kwahiyo Mwami hapa alitaka kutulisha uongo!
Lakini pia, kama @SeifSharifHamad amekuwa akitoa tahadhali juu ya corona, aliwezaje safiri mpaka Chato na kukutana na Rais pasipo kuchukua tahadhali kama ile ya kuvaa barakoa?