Kama umechagua kujitenga na mtu kwa sababu ya kuuamini uongo ulioambiwa dhidi yake , basi hakikisha unabaki upande huo huo wa uongo hata pindi ukweli utakapokua ukijidhihirisha wazi 😎 .
Utawaambia shoga zako, sikuwa na pesa kama wale, ila nilikuepo kwenye changamoto zako..
Sikukupa kila unachotamani, ila sikukunyima nilivyoviweza.
Wao walipewa wanaume matajiri lakini wabinafsi, wewe ukawa na Mimi mwenye kidogo lakini sio mchoyo.
Pole kwa kunipoteza.🙏
Mashindano mazuri ni yale ya kushindana na nafsi yako katika kuepuka kufanya mambo yatakayokuingia kwenye umaskini na majuto na sio kushindana na watu
Good morning my friends.
Dunia tena aipo vile ambavyo wazee wetu waliishi
Mtoto wa mjomba anaweza akala kwa shangaz akalala kwa ma mdogo
Likizo watoto wote mnajikuta mpo kwa bibi asubui mtagombania mihogo na chai mchana ugali na dagaa usiku wali na kisamvu
Maisha hayapo tena vile ndgu sikuiz awajuani cjui ni ugumu wa maisha au chuki zimeharibu koo zetu
Ukikosea omba msamaha, Usijifike kiburi cha kujiona kila mtu unaweza kupata mbadala wake. Kwa umri ulionao ni hatari kubwa sana kupoteza watu wathamani kwenye Maisha yako.
@privaldinho Hata kama ni ivo wafanyakazi wote ambao wanafanya kazi kwenye makampuni rasmi wanalipa direct tax je does it mean Tanzania nzima ina watu million mbili tu waliojariwa na ajira rasmi???
Tunaanza kwa kuzaliwa tunamaliza kwa kufa. Katikati ya KUZALIWA na KUFA kuna kitu inaitwa MAISHA.
Jitahidi kufurahi muda wako unapokuwa katikati ya kuzaliwa na kufa
🔴⚪️ Rüdiger tells @InsideScoopHQ: “If you see Arsenal, the two centre backs are the pillar of the transformation”.
“You have with Gabriel the aggressive leader and Saliba… this brother plays clean!”.
“You have to give it to him, he looks like a silent leader”.
Hii ikaku-motivate
Nguruwe ndio mnyama anayechukiwa na jamii fulani duniani kote, lakini bado ananenepa,ananona na kunawiri kila siku!!
Na bado ndio mnyama pendwa!!
Usiogope kuchukiwa….Stay strong!!