Kiongozi wetu @IsmailJussa amepata nafuu Alhamdulillah anaendelea vyema tuendelee kumuombea yeye pamoja na wale ambao wapo kizuwizini. Mungu awalaze mahali pema peponi walodhulumiwa roho zao.
#HakunaKukataTamaa
The latest information we received about @IsmailJussa's condition is that he was beaten by more than 20 soldiers and had been broken his leg and shoulder. This is brutality and completely contrary to our laws and International laws.
Taarifa zilizotufikia hivi punde kuhusu hali ya @IsmailJussa ni kwamba amepigwa na zaidi ya Askari 20 na amevunjwa Mguu na Bega. Huu ni unyama na ni kinyume kabisa na Sheria zetu na Sheria za Kimataifa.
NEWS UPDATES
Gari za polisi (malori matatu) yanaelekea airport Dar Es Salaam yakiwa yamejaza wanajeshi wa emergency force kwa ajili ya kupelekwa Unguja maandamano yasifanyike ..
It is happening now!!!
👉Zanzibar mna nafasi yenu peponi.. Walipokata majina ya wagombea wa ACT Wazalendo walikaa kimya na hawakutana kulalama maana walijua CCM na hao watu wao wa kura za maruhani hawatampigia Mwinyi..
👉Taharuki mliyosababisha leo ni kubwa na ZEC hawaamini macho
Maalim Allah akulinde
Michenzani Wamevamia Mazombi wamefika round about wameblock gari inasemekana kuna kiongozi mmoja saivi ameshatekwa ACT haraka sana fuatlieni.. @ACTwazalendo@kigogo2014
#BreakingNews
Lori mbili zilizokuwa zikiongozana huku zikiwa zimebeba viroba vya mizigo maeneo ya Kiembe samaki Zanzibar. Kiroba kimoja kilidondoka na baada yakwenda kufungua kiroba hicho kukakutwa na kura ambazo tayari zimekwishakupigwa kwa CCM.
#ZanzibarLivesMatter
Tofauti kati Uchaguzi Tanzania Bara na Zanzibar iko wazi.
Pemba kuna Majeshi ya JW , JKT na Polisi
Hapa Bara hakuna hata Mwanajeshi Mmoja kituoni au JKT.
Ukweli wamekusudia kuwaua Wapemba watakao jaribu kulinda kura zao