@mangekimambi@godbless_lema Huyo baba aliyekuambia ameuliwa juzi ni mume wa mwinyilisti kanisa la KKKT Zanzibar(Mwana kwerekwe) alifia hospital na sababu ya kifo chake ni majeraha ambayo kwa mujibu wa report za mwanzo alikuwa amelewa na akaingia kwenye ugomvi.sababu ya kifo sio ukirsto wake.
@Innocen89950594 Kama upo Dar nenda machinga complex asubuhi sana wanafungua mabalo suruali kali unakutana nazo ja vitambaa aina hiyo ya ku adjust
Pia kuhusu mashati makali ilala boma pale upande wa sokoni
@Nicky__001 Kuna demu ananiambia polygamy,jonas alikuwa anakosea na alishindwa kutimiza ahadi,ikabidi niangalie comment za watu mtandaoni na kwaini Jonas,nilichogundua wanawake wanajifunza ujinga sana kweye hizo movie
Mwanaume,kwa usalama wa akili yako usimiliki mwanamke usiyemmudu,kila anachotaka wewe huna,hata kama hujali ila kuna namna utadata tu.
Kula nyama kulingana na uimara wa meno yako.
Good morning fam.
Kwenye maisha omba sana Mungu akujalie moyo usiochoka kumtegeamea na kuamini kuwa kesho inaweza kuwa bora kuliko leo. Good morning Godโs people ๐ซ๐ค
@Chugganation@Innocen89950594 Jina la account na Taarifa kama namba ya simu uliyotumia before hapo tunaweza kuanza huo mchakato na devices ambazo ushazitumia ku login kwa kutumia hiyo email
@MKWEPA_KODI Habari uncle,tuna situation kama hiyo ushahidi ambao upo ni wa sms pia lecture aliapiza kutufelisha na amewapa wanafunzi sita kati ya kumi sup,wanafunzi nusu wamepass wengine nusu wamepewa repeat module,naomba utusaidie kiongozi