@HecheJohn Yaani kama ningepewa nafsi ya kukushauri
Basi ningesema Twende Tanga na wilaya zote ambazo wale watu wa million 2 walifanya conferences sisi tungeenda na Tone Tone
‼️🚨PUBLIC NOTICE
Alert Level 5: Terrorists Operating in #Tanzania🚨
The security situation in Tanzania, both in Tanganyika and Zanzibar, has been rapidly deteriorating over the past 10 months. Cases of terrorism and terrorists have been significantly reported. The country has entered a new level of lawlessness, with over 130 citizens arrested over terrorism-linked plots as reported by the Tanzania Police Force.
Police authorities based at the headquarters in Dodoma, Tanzania, have additionally confirmed that on July 22, 2026, they arrested and charged three lecturers from the University of Dodoma (UDOM) including Dr. Melkisedeki Kaijage with terrorism-related offenses. From Mwanza, a region
situated along the shores of Lake Victoria which is part of the Serengeti National Park and other regions, police reports indicate that the police are arraigning more terrorist suspects; denying them bail until August, when their cases are scheduled to return to court.
The accused are all charged with terrorism even though the police linked their activities with planned peaceful protests.
Visitors are hereby warned that those entering Tanzania (including both
Tanganyika and Zanzibar) for tourism and investment are at risk of being facing terrorism acts and charges.
The presidential commission attested in April 2026 to the disappearance of over 700 people between 2024-2025 following an initial estimate of over 200 people by UN Human Rights Experts in June 2025. Hence due to the widespread prevalence of terrorist acts and abductions across the country, visitors are strongly advised that any travel to Tanzania (Tanganyika &
Zanzibar) during the high season of July-December 2026 is undertaken entirely at their own risk.
Be informed!
#SamiaMustGo
Hii fursa! Wakiandamana ni kujichanganya hapo na mabango yetu 👊🏽🔥
Alomuradi wameruhusu maandamano tutaandamana sote - hakuna shida!
Safi kabisa!
Hivi hadi lini mtakubali @tanpol kuendeshwa na akili za Abdul?
#SamiaMustGo
WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali.
Mahakama zina wajibu wa kutoa maamuzi kwa uhuru, bila kuingiliwa na mtu yeyote hata Rais. Huo ni msingi wa utawala wa sheria na lazima uheshimiwe.
LAKINI NI SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE NDIYO HUANZISHA NA KUENDESHA MASHITAKA YA JINAI. Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), mamlaka ya mashtaka yanaweza kupitia upya uamuzi wa kuendelea na shauri pale yanapoona kuwa maslahi ya umma au haki yanahitaji hivyo. Kwa hiyo, kumshauri mhe Rais ahimize Serikali yake kupitia upya uamuzi wa kuendelea na mashitaka ya jinai ambayo yanachukua muda mrefu au kuleta sintofahamu katika taifa si sawa na kuiamuru Mahakama iamue kwa namna fulani. Kusema vinginevyo ni kupotosha umma. Kuna wanaofanya hivyo kwa kutokujua. Kuna wanaofanya hivyo kwa hila ovu kama propaganda tu ya upotoshaji. Tusichoke kuelimishana.
Hata taarifa ya hivi karibuni ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) haikuitaka Mahakama imwachie huru Mheshimiwa Lissu. Badala yake, ilishauri suala hilo "lipatiwe ufumbuzi kupitia njia za kisiasa na kisheria." Hii inaonyesha kwamba hata katika demokrasia zilizoimarika, KUNA WAKATI SULUHISHO LA MIGOGORO YA KISIASA HUPATIKANA KWA KUTUMIA TARATIBU HALALI ZA KISHERIA PAMOJA NA BUSARA ZA KISIASA. Mimi ninaamini athari za kuendelea kumshikilia Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani kwa shitaka ambalo kwa mwaka mzima sasa halijakamilika mahakamani haisaidii taifa hili hata kidogo.
Mhe Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira (MTANI) kweli tulidiscuss. Kwa kuwa umeweka wazi maongezi yetu basi uniruhusu na mimi niongezee ufafanuzi for the record. Kwanza “tulikubaliana kutokubaliana”. Rai yangu kwa mhe Rais siyo shinikizo kwake wala kuingilia Mahakama. Silazimishi chochote kwani ninajua sina mamlaka hayo. Ni ushauri na ombi kwa uongozi wa Taifa kwa ujumla wake kwamba swala la Lissu na wengine wa aina hiyo likamilike. Serikali ndiyo inashitaki huko Mahakamani. Ikiondoa shauri, kama ilivyofanya mara nyingi huko nyuma kwa busara, tutapiga hatua ya mengine yanayotusubiri kuponya majeraha kwa kutenda haki, kuridhiana na kuweza kuandika Katiba Mpya katika hali ya kuaminiana. Mamlaka ya kuondoa shauri mahakamani iko chini ya mhe Rais na Serikali yake kupitia ofisi ya DPP. Ni kwa kutambua hilo ninajielekeza moja kwa moja kwa Mhe Rais. Na ninaendelea kufanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa. The stakes my MTANI are too high. The difference is that some can see the danger, others cannot. The burden of knowledge.
#TANZANIA: PROF. TIBAIJUKA AMJIBU MZEE WASIRA SAKATA LA KESI YA LISSU NA USHAURI KWA RAIS SAMIA
Anaandika Prof. Anna Tibaijuka katika kurasa zake za kijamii leo Julai 24, 2026 kuhusu maongezi yake na Mzee Stephen Wassira ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ushauri alioutoa kwa Rais Samia Suluhu sakata la kesi ya Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na tuhuma ya uhaini.
WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali.
Mahakama zina wajibu wa kutoa maamuzi kwa uhuru, bila kuingiliwa na mtu yeyote hata Rais. Huo ni msingi wa utawala wa sheria na lazima uheshimiwe.
LAKINI NI SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE NDIYO HUANZISHA NA KUENDESHA MASHITAKA YA JINAI. Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), mamlaka ya mashtaka yanaweza kupitia upya uamuzi wa kuendelea na shauri pale yanapoona kuwa maslahi ya umma au haki yanahitaji hivyo. Kwa hiyo, kumshauri mhe Rais ahimize Serikali yake kupitia upya uamuzi wa kuendelea na mashitaka ya jinai ambayo yanachukua muda mrefu au kuleta sintofahamu katika taifa si sawa na kuiamuru Mahakama iamue kwa namna fulani. Kusema vinginevyo ni kupotosha umma. Kuna wanaofanya hivyo kwa kutokujua. Kuna wanaofanya hivyo kwa hila ovu kama propaganda tu ya upotoshaji. Tusichoke kuelimishana.
Hata taarifa ya hivi karibuni ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) haikuitaka Mahakama imwachie huru Mheshimiwa Lissu. Badala yake, ilishauri suala hilo "lipatiwe ufumbuzi kupitia njia za kisiasa na kisheria." Hii inaonyesha kwamba hata katika demokrasia zilizoimarika, KUNA WAKATI SULUHISHO LA MIGOGORO YA KISIASA HUPATIKANA KWA KUTUMIA TARATIBU HALALI ZA KISHERIA PAMOJA NA BUSARA ZA KISIASA. Mimi ninaamini athari za kuendelea kumshikilia Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani kwa shitaka ambalo kwa mwaka mzima sasa halijakamilika mahakamani haisaidii taifa hili hata kidogo.
Mhe Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira (MTANI) kweli tulidiscuss. Kwa kuwa umeweka wazi maongezi yetu basi uniruhusu na mimi niongezee ufafanuzi for the record. Kwanza “tulikubaliana kutokubaliana”. Rai yangu kwa mhe Rais siyo shinikizo kwake wala kuingilia Mahakama. Silazimishi chochote kwani ninajua sina mamlaka hayo. Ni ushauri na ombi kwa uongozi wa Taifa kwa ujumla wake kwamba swala la Lissu na wengine wa aina hiyo likamilike. Serikali ndiyo inashitaki huko Mahakamani. Ikiondoa shauri, kama ilivyofanya mara nyingi huko nyuma kwa busara, tutapiga hatua ya mengine yanayotusubiri kuponya majeraha kwa kutenda haki, kuridhiana na kuweza kuandika Katiba Mpya katika hali ya kuaminiana. Mamlaka ya kuondoa shauri mahakamani iko chini ya mhe Rais na Serikali yake kupitia ofisi ya DPP. Ni kwa kutambua hilo ninajielekeza moja kwa moja kwa Mhe Rais. Na ninaendelea kufanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa. The stakes my MTANI are too high. The difference is that some can see the danger, others cannot. The burden of knowledge.
Nimetimiza ahadi yangu kuichangia CHADEMA MILIONI 3 live mbele ya Watanzania.
Niliahidi michango ikifika 200M nitaanzisha safari ya kuelekea MILIONI 334.
Kampeni yetu ni “changa TENA NA TENA” mimi nilichanga 1M kufungua kampeni.
Nikaja kuchanga 2M ilipofika 100M kuanzisha safari ya 200M.
Leo tena nimekuja kuchanga 3M Kuanzisha safari kuitafuta 334M.
Kwakuwa nimesisitiza “Changa tena na tena” mimi pia sijamaliza—nitachanga tena 1M tukifika 300M kuanzisha safari ya 334M.
Huu ujumbe maalumu kwako uliechanga, hakikisha unachanga “TENA NA TENA” tutapumzika tukimaliza 334M.
CHANGIA SASA—MPESA.
0744446969
Jina: CHADEMA HQ
REPOST 500.
TUMEKARIBIA NUSU YA LENGO LETU — TUMEBAKIZA TSH. MILIONI 22.7 PEKEE! ✌🏼🔥
Watanzania, kwa moyo wa shukrani tunawapongeza kwa mwitikio wenu mkubwa katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 144.3. Ili kufikia nusu ya lengo letu (TSh. Milioni 167), tumebakiza TSh. Milioni 22.7 pekee.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Wanaharakati, please tuelimishe wananchi jinsi ya kufanya maandamano ya kutokea ghafla bin vuup huku tukiendelea kujipanga na maandamano ya amani ya AFCON.
Tuwafundishe wananchi jinsi ya kutumia mikusanyiko kama ya mpira au chochote kile kuanzisha maandamano ya amani hapo hapo. Na kwamba wananchi wakiona tu maandamano yameanza eneo flani na wao waandamane hapo hapo kwenye maeneo yao.
Yani tuwafundishe ujanja wa kulipuka na maandamano ili tusiwape nafasi serikali haram ya kufanya chochote kuzuia maandamano.
Let’s talk about this as much as we can………Yani lazma tuweke hii idea kwenye kichwa cha kila Mtanzania.
MAANDAMANO YA AFCON YAPEWE NGUVU KUBWA!!! MACHO YA AFRICA NZIMA YATAKUWA TANZANIA, LAZMA TUITUMIE NAFASI HII KUKOMBOA NCHI YETU KUTOKA KWA FAMILIA HIZI CHACHE ZILIZOJIMILIKISHA NCHI YETU, FAMILIA YA KIKWETE , FAMILIA YA KIMAMA na MBWA ZINGINE.