Je, vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni vya dini? Wapo wanaodai Iran inalengwa kwa sababu ni nchi ya Kiislamu, lakini ukweli ni kwamba mgogoro huu unatokana zaidi na siasa za kimataifa kuliko dini.
Hii hapa tathmini ya Brainset Swahili #USAvsIran#IslamAndWar#Trump
Kindi wa Aktiki anaweza kulala hadi miezi saba wakati wa baridi usingizi mzito unaoitwa hibernation. Wanasayansi wanaamini kuelewa mchakato huu kunaweza kusaidia kutibu magonjwa ya ubongo kama Alzheimer’s.
🎙️Arinota Ainsworth na Brenda Karegi
#Kindi#Hibernation#Awetungu
Alama za vidole (fingerprints) hutengenezwa vipi? Na kwa nini kila mtu ana alama za kipekee zisizoweza kurudiliwa?
Mwandishi wa Brainset Swahili, Arinota Ainsworth, anaarifu kwa kina.
#ForYou#Fingerprints#Sayansi#Swahili#Brainset
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kupanda mti wa muembe huko Unguja, Zanzibar. Rais Samia sasa ana umri wa miaka 66. 🌱🎉
Simulizi: Allan Wetungu
#RaisSamia#SamiaAt66#Zanzibar#Unguja#Environment#ActClimate
Leo tufahamu namna ngisi (aina ya bobtail) anavyotoa mwangaza mwilini, kwa kutumia bakteria. Bobtail squid au bobtail cuttlefish wanapatikana katika bahari ya Hindi, Pasifiki na Atlantic.
#Wanyama#Swahili#ForYou#Awetungu#Brainset
Afrika Mashariki yapiga hatua katika maandalizi ya AFCON 2027 itakayofanyika kwa pamoja Kenya, Uganda na Tanzania.
Ujenzi wa Uwanja wa Talanta, Raila Odinga na Uwanja wa Arusha bado unaendelea je, umefikia wapi?
Allan Wetungu & Mariam Swalehe wanaarifu.
#AFCON2027#SimbaYanga
Gaddafi's son has been assassinated.
Seif al-Islam Gaddafi, son of the former Libyan ruler, Muhammad Gaddafi, was assasinated. His death was confirmed by his advisor, a day after his relatives confirmed his death.
#Gaddafi#Assassination#Libya#Saif-Al-Islam #Brainset
Cows can not digest grass on their own. The tough cellulose fibres in plants are indigestible to most animals. That's why God created cows with an entirely different system: a four-chambered stomach.
#Biology#CowsStomach#Animals#ForYou#Brainset
Why is Collins Injera considered one of Kenya's Rugby legends?
Injera rose from humble beginnings to the world’s biggest rugby stages, becoming the face of Kenyan rugby sevens.
#Rugby#KenyanRugby#Legendary#ForYou#Brainset
Your skin is not just a covering; it is a living organ that protects, senses, and adapts.
It covers about 20 square feet, which is equivalent to two standard doorways. Weighing roughly 3 kilograms, it accounts for around 16% of your total body weight.
Swinny Jangara, reports.
Unene uliopitiliza hauharibu tu muonekano — unaumiza mifupa.
Uzito mkubwa huongeza presha kwenye nyonga, magoti, mgongo na vifundo vya miguu, huharibu cartilage na kuongeza hatari ya osteoarthritis.
✍️ Isaac Kipngetich | Brainset Swahili
#ForYou#Bornes#Obesity#Afya#Brainset
Fahamu kibofu hufanya kazi vipi:
Utotoni, kukojoa ni hisia ya asili bila udhibiti. Ubongo unapokomaa, gamba la mbele hupata udhibiti wa hiari wa mishipa ya mkojo—hukuwezesha kukojoa unapotaka na unavyotaka.
✍️ Muhudin Hija | Brainset Swahili
#ForYou#Sayansi#TheBladder#Nerves
Hii ndiyo sababu ya mgongo kujipinda mtu anapoanza kuzeeka.
Si uchawi, au laana kivyovyote. Ni mabadiliko asili ya mwili, kisayansi
Msimuliaji - Muhidini Hija
#ForYou#BackPain#Oldage#Brainset